Jokate na twende kilioni mbaya na chafu

Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu pia ni chafu kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.

Zimfumuka ndio nini au ndio hasira zimekuzidi mswahili?
 
Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu pia ni chafu kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.

Ama kweli kila mtu na macho yake binafs namuona yuko poa
 
Ama kweli duniani kuna haters,yan u can do 90 thngs well n gd ila ukikosea moja tu then ni lawama na kejeli.Naamini mnaishi na dada zenu nyumbani,mkiwaangalia nywele zao zikoje?naamini hata hizo za Kidoti zina afadhali sana ila mnashindwa kuwaambia kwa kuogopa hamna hela ya kuwapeleka saloon.

Stop hating vtu ambavo havina maan
 
Nywele zake zitakuwa soft sana bwana! Sio wote wenye nywele kama steelwool! Ndo zikisukwa zinagangamala wiki 3. Soft hair zikitoka kusukwa malaika zinachachamaa!
Malaika ndio tule tunywele twa pembeni pembeni kichwani?
 
Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu pia ni chafu kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.
Mkuu kumbe na wewe Mzee wa kupenda mawigi?
Jokate ni natural... Yupo so cute..
Kwasisi wapenda natural woman hairs.
 
Yo yo nasikia alikufa kwa kihoro cha chuki kwa binadamu wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…