No, mi sihutaji uteuzi, mimi ni tajiri na siishi kwa hisani ya mtu, ni mwana CCM na ninapenda CCM, sema kwa kuteua mtu kama Jokate mamlaka imejidhalilisha, kwani UVCCM vijana wenye maadili wapo wengi tu.Masikini kumbe hujakimbukwa? Kwani na wewe una kidoti?
Kwa kweli inasikitisha sana tena sana. Hivi vetting huwa inafanyikaje?Kuna kila dalili za kuhamasisha vijana waingie katika fani ya ukaaji uchi ili wapate kuonekana na kupewa nafasi kama hizo.
unasema???Tulishamsahau....binti huyu kila ukimgusa anasema hana mpenzi sasa hapa mpenzi yupi?
Hata wazee wenye busara ndani ya ccm wanaona hiki ni kituko, kama mzee MkapaKwa kweli inasikitisha sana tena sana. Hivi vetting huwa inafanyikaje?
Leo mwite mheshimiwa wa kisarawe kaka MatolaYani kama kuna mabinti wamewahi kunichefua huyu ni namba moja. Poor Jokate.
Kweli hii ni serakali kwa mbaliSoon utasikia yule Sister Fey amekuwa mkuu wa mkoa.
Na saluti ampigieLeo mwite mheshimiwa wa kisarawe kaka Matola
.
dah!Soon utasikia yule Sister Fey amekuwa mkuu wa mkoa.
Leo mwite mheshimiwa wa kisarawe kaka Matola
I see!!....Na saluti ampigie
Huyo siyo bwana wa juu hapo