Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
No, mi sihutaji uteuzi, mimi ni tajiri na siishi kwa hisani ya mtu, ni mwana CCM na ninapenda CCM, sema kwa kuteua mtu kama Jokate mamlaka imejidhalilisha, kwani UVCCM vijana wenye maadili wapo wengi tu.Masikini kumbe hujakimbukwa? Kwani na wewe una kidoti?