Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika vurugu siku ya kesho Uchaguzi unapofanyika.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Jokate amesema hayo leo November 26, 2024 katika Kijiji cha Ulembwe Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe wakati akifunga kampeni za uchaguzi huo unaofanyika kesho ambapo amewasihi pia Vijana wakishapiga kura warejee kwenye shughuli badala ya kubaki kwenye vituo vya kupigia kura na kusababisha vurugu.
PIA SOMA
- LGE2024 - Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia