Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika vurugu siku ya kesho Uchaguzi unapofanyika.
Jokate amesema hayo leo November 26, 2024 katika Kijiji cha Ulembwe Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe wakati akifunga kampeni za uchaguzi huo unaofanyika kesho ambapo amewasihi pia Vijana wakishapiga kura warejee kwenye shughuli badala ya kubaki kwenye vituo vya kupigia kura na kusababisha vurugu.

Jokate amesema hayo leo November 26, 2024 katika Kijiji cha Ulembwe Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe wakati akifunga kampeni za uchaguzi huo unaofanyika kesho ambapo amewasihi pia Vijana wakishapiga kura warejee kwenye shughuli badala ya kubaki kwenye vituo vya kupigia kura na kusababisha vur
Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika vurugu siku ya kesho Uchaguzi unapofanyika.
Jokate amesema hayo leo November 26, 2024 katika Kijiji cha Ulembwe Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe wakati akifunga kampeni za uchaguzi huo unaofanyika kesho ambapo amewasihi pia Vijana wakishapiga kura warejee kwenye shughuli badala ya kubaki kwenye vituo vya kupigia kura na kusababisha vurugu.
Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika vurugu siku ya kesho Uchaguzi unapofanyika.
Jokate amesema hayo leo November 26, 2024 katika Kijiji cha Ulembwe Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe wakati akifunga kampeni za uchaguzi huo unaofanyika kesho ambapo amewasihi pia Vijana wakishapiga kura warejee kwenye shughuli badala ya kubaki kwenye vituo vya kupigia kura na kusababisha vurugu.
Uongo.samia kaudhibitisha ulimwengu kuwa yeye ni dikteta.ameua wapinzani kama mzee kibao,soka,mbise,sativa,beni saanane,alikosakosa tudulisu na wengine wengi zaidi ya miamoja kama walivyoorodheshwa na TLS.huyu mama hakufaa kabisa hata kidogo