Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Mbona unawapendelea vijana? Bible iliandikwa kwa ajili ya rika zote,na ole wake atayeongeza au kupunguza neno.Chunga sana.
Wameshapunguza sana, wameshaongeza mengi, na wanendelea kufanya hivyo. unajua kuna versions ngapi tofauti za bible?
Neno la Mungu limepimwa,na kuhakikiwa na Mungu mwenyewe,ole wake yule atakayebadilisha,au kuongeza hata nukta,hasira ya Bwana Mungu itawaka juu yake
Neno la Mungu limepimwa,na kuhakikiwa na Mungu mwenyewe,ole wake yule atakayebadilisha,au kuongeza hata nukta,hasira ya Bwana Mungu itawaka juu yake
Nakubali ziko versions nying za Bible zilizokwisha andikwa nyingine ni kwa matakwa binafsi.Lakini ole inabaki pale pale atakayeongeza/kupunguza Ufunuo wa Yohana 22:19.Mimi simo.
.Ndugu yangu Rainbow napenda nikuhakikishie kuwa namwamini na namfwata Mungu ninayemjua na wala sibahatishi hata kidogo,nikutangazie tu kwamba mimi ni mkirsto tena Mkristo halisi na si wa mapokeo,
Acha uwongo. yaani mungu alikuwa anasubiri watu waandikiane barua (waraka wa huyu kwenda kwa yule, kama ilivyo katika bibila) halafu yeye ahakiki na kuidhinisha kuwa hayo ni maneno yake. hocus pocus.
Kuwa na version ya lugha yeyote inakubalika kwa ajili ya usitawi wa jamii husika
I got this as forwarded sms from ma friend!
Kutokana na ukweli kwamba vijana wengi hawapendi kusoma bible, umefika wakati bible ingetakiwa iandikwe upya kwa kiswahili cha kisasa zaidi (watumiacho vijana) ili iliwavutie vijana wengi zaidi waisome na wapate wokovu. Mfano bible ingekuwa na verse kama hizi;
Yesu akawaibukia masela wake na akawapa laivu, Oya washikaji mi ndo naenda kwa dingi, ila ndo hivo msikandamizane, msipige fix, msimind mademu wa washikaji zenu, wapeni shavu madingi na mamaza zenu...au sio machizi? akamaliza huyooooo!...akasepa! Toa maoni yako