SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
Afadhali na akheri za barua za wanazuoni akina Paulo, kuliko utumbo unaokutikana ktk kitabu cha Mwamedi.
Ishi! Mimi nilidhani ni 'Utani', kumbe ishakuwa mjadala wa kidini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali na akheri za barua za wanazuoni akina Paulo, kuliko utumbo unaokutikana ktk kitabu cha Mwamedi.
Ndugu yangu Rainbow napenda nikuhakikishie kuwa namwamini na namfwata Mungu ninayemjua na wala sibahatishi hata kidogo,nikutangazie tu kwamba mimi ni mkirsto tena Mkristo halisi na si wa mapokeo,
Kuwa na version ya lugha yeyote inakubalika kwa ajili ya usitawi wa jamii husika
Sikuwa wala sijawahi kuwa pamoja na Yesu,ila pia kumjua na kumfwata Mungu hakutegemei kuwa na yesu,hata Yuda aliekuwa na yesu yalimshinda,swala la msingi ni uhusiano wako na Mungu,na ni swala la Imani
Afadhali na akheri za barua za wanazuoni akina Paulo, kuliko utumbo unaokutikana ktk kitabu cha Mwamedi.
Na amefanikiwa kweli kuziteka bongo zenu zilizotindia. kwa akili zenu hizo lazima mumuone mwanazuoni. Hadi leo mmerithi yale maono aliyodai yalimtokea. Na huu ndio urithi wake km inavyodhihirika kwa utitiri wa "manabii".
Hicho kitabu cha Mwamedi(haiti hivyo) umekisoma au kelele tu?Afadhali na akheri za barua za wanazuoni akina Paulo, kuliko utumbo unaokutikana ktk kitabu cha Mwamedi.
I got this as forwarded sms from ma friend!
Kutokana na ukweli kwamba vijana wengi hawapendi kusoma bible, umefika wakati bible ingetakiwa iandikwe upya kwa kiswahili cha kisasa zaidi (watumiacho vijana) ili iliwavutie vijana wengi zaidi waisome na wapate wokovu. Mfano bible ingekuwa na verse kama hizi;
Yesu akawaibukia masela wake na akawapa laivu, Oya washikaji mi ndo naenda kwa dingi, ila ndo hivo msikandamizane, msipige fix, msimind mademu wa washikaji zenu, wapeni shavu madingi na mamaza zenu...au sio machizi? akamaliza huyooooo!...akasepa! Toa maoni yako