NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 878
- 1,201
Niliona mahali orodha ya wanyama na wadudu wanaoua watu. Nilishangaa Mbu ndiye anaongoza akifuatiwa na mwanadamu.Kwa kifupi: mwili mdogo, madhara makubwa—ndio maana kipigo kinazidi ukubwa wake.😂