N NABII MTARAJIWA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 878 Reaction score 1,201 May 16, 2025 #21 Mshana Jr said: Kwa kifupi: mwili mdogo, madhara makubwa—ndio maana kipigo kinazidi ukubwa wake.😂 Click to expand... Niliona mahali orodha ya wanyama na wadudu wanaoua watu. Nilishangaa Mbu ndiye anaongoza akifuatiwa na mwanadamu.
Mshana Jr said: Kwa kifupi: mwili mdogo, madhara makubwa—ndio maana kipigo kinazidi ukubwa wake.😂 Click to expand... Niliona mahali orodha ya wanyama na wadudu wanaoua watu. Nilishangaa Mbu ndiye anaongoza akifuatiwa na mwanadamu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 May 16, 2025 #22 Yes mbu ndio muuaji mkubwa wa binadamu licha ya kaumbo kake kadogo mno NABII MTARAJIWA said: Niliona mahali orodha ya wanyama na wadudu wanaoua watu. Nilishangaa Mbu ndiye anaongoza akifuatiwa na mwanadamu. Click to expand...
Yes mbu ndio muuaji mkubwa wa binadamu licha ya kaumbo kake kadogo mno NABII MTARAJIWA said: Niliona mahali orodha ya wanyama na wadudu wanaoua watu. Nilishangaa Mbu ndiye anaongoza akifuatiwa na mwanadamu. Click to expand...
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,975 Reaction score 4,082 May 16, 2025 #23 Jasmoni Tegga said: Mkuu, kwa hiyo unataka kusemaje? Kumbuka, Tanzania kama taifa ni kubwa kuliko yeyote yule! Click to expand... Hela ni kubwa kuliko Tanzania
Jasmoni Tegga said: Mkuu, kwa hiyo unataka kusemaje? Kumbuka, Tanzania kama taifa ni kubwa kuliko yeyote yule! Click to expand... Hela ni kubwa kuliko Tanzania
uchumi2018 JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 2,085 Reaction score 2,996 May 16, 2025 #24 Palmoni said: Mbu Ni Mnyama Au Mdudu?? Click to expand... Ni mnyama,ref.somo la biology viumbe hai vinagawanyika kwenye makundi makundi mawili animal kingdom and plant kingdom.
Palmoni said: Mbu Ni Mnyama Au Mdudu?? Click to expand... Ni mnyama,ref.somo la biology viumbe hai vinagawanyika kwenye makundi makundi mawili animal kingdom and plant kingdom.