Jokeri kala bann

Asante sana Don Clericuzio ...jitahidi uwe hivyo

Mie sidhani kama nitaweza,siwezi kukuahidi 😣

Mimi siombi uwe hivyo, no. I am good with how you are.

Ila mimi personally nimejihisi kubadilika sana, yaani ni kama kuna incidences nilipitiliza chitchats.

Hivyo, nafanya hivyo kwa ajili yangu na yako.
 
Afadhali kama umegundua hivyo manake nilikuwa sipendi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…