Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silipizi nakwambia ukweli vileUsipende kulipiza, forgive and forget.
Duuuuuu hata wewe mrembo unachapwa na juaKanadhan tunaoshinda juani tunapenda eh..watu tumepaukaaa..ngoz zimekuwa kavuu..tumekuwa ti ti ti ..kapite hv..kanakera kwakwel
Silipizi nakwambia ukweli vile
Asante sana Don Clericuzio ...jitahidi uwe hivyoKuanzia leo naahidi kwamba sitakukwaza kwa kutaniana na wanawake wengine.
Nimeacha.
Yani[emoji23][emoji23][emoji23]Ban inauma aiseeeModerators hawana mercy [emoji2][emoji1][emoji1]
Wakati fulani Ban ilisababisha nianzishe hii Id ninayotumia sasa.Yani[emoji23][emoji23][emoji23]Ban inauma aiseee
unayonifanyia mazuri?troublemaker naona leo napata dislikes za kutosha kutoka kwako 😐
Nimefanyaje kwani?🙆unayonifanyia mazuri?
Mimi siombi uwe hivyo, no. I am good with how you are.
Ila mimi personally nimejihisi kubadilika sana, yaani ni kama kuna incidences nilipitiliza chitchats.
Hivyo, nafanya hivyo kwa ajili yangu na yako.
Afadhali kama umegundua hivyo manake nilikuwa sipendi kweli
Nimeacha mama.
Kabisa.
Tenaa!Asante sana Don Clericuzio ...jitahidi uwe hivyo
Mie sidhani kama nitaweza,siwezi kukuahidi [emoji21]