Jokes za kwenye magroup ya whatsapp ziko lame sana.

Sipo kwe group lolote na hata wakiniunga na left...group letu la shule naamini linaongoza kwa majungu na michango dunia nzima hatari (mlimwa primary school)-dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta umeungwa mgroup rundo alafu kila group ni kusaidiana!! Woooooi!!!
Hamsaidiani kwenye misiba, magonjwa nk? Kama ni hivyo umefanya sahihi, kama walau mtu akifiwa mnapeana sapoti basi hukutakiwa kujitoa, unless iwe mtu hapendi kusaidiana.
 
Unakuta umeungwa mgroup rundo alafu kila group ni kusaidiana!! Woooooi!!!
Kuna grps zina maendeleo makubwa sana, labda kwa vile grps zenu bado members ni wadogo kiumri ndio maana damu zinachanganya bado.

Kuna watu wana mashamba huko, wanafuga samaki as a grp, wanalima sana tu, wapo wamefungua hizi nini za kukopeshana, wana shares za kutosha.
 
In short sipendi tu magroup hata yawe yanafuga tembo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…