ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Dah! Utadhani ulisoma enzi za Mkapa...haha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Utadhani ulisoma enzi za Mkapa...haha
Weee Eli shule ya msingi nimesoma kwa mkapa mimi usinitanie kabisaDah! Utadhani ulisoma enzi za Mkapa...haha
Ulisoma hadi kumaliza kipindi cha Mkapa kweli? Mmmh! Ila O level hakika ilikuwa utawala wa JK.Weee Eli shule ya msingi nimesoma kwa mkapa mimi usinitanie kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nimesoma hadi nimemaliza Jk amenikuta sekondariUlisoma hadi kumaliza kipindi cha Mkapa kweli? Mmmh! Ila O level hakika ilikuwa utawala wa JK.
Hapo sawa!
Hamsaidiani kwenye misiba, magonjwa nk? Kama ni hivyo umefanya sahihi, kama walau mtu akifiwa mnapeana sapoti basi hukutakiwa kujitoa, unless iwe mtu hapendi kusaidiana.
Kuna grps zina maendeleo makubwa sana, labda kwa vile grps zenu bado members ni wadogo kiumri ndio maana damu zinachanganya bado.Unakuta umeungwa mgroup rundo alafu kila group ni kusaidiana!! Woooooi!!!
Kuna grps zina maendeleo makubwa sana, labda kwa vile grps zenu bado members ni wadogo kiumri ndio maana damu zinachanganya bado.
Kuna watu wana mashamba huko, wanafuga samaki as a grp, wanalima sana tu, wapo wamefungua hizi nini za kukopeshana, wana shares za kutosha.
Hapo sawa!In short sipendi tu magroup hata yawe yanafuga tembo.
Hapo sawa!
Kwa hiyo hata grp langu na wewe hutaki?[emoji23][emoji39]
Dah!!!
HahaLangu na wewe tunakuwa mwili mmoja hivyo hamna group hapo[emoji39]
Muda huwa haurudi nyuma bana, twende mbele
Mkiunda group msiache kuniadd[emoji4][emoji4]Hapo sawa!
Kwa hiyo hata grp langu na wewe hutaki?[emoji23][emoji39]
Huna tofauti nae!!Kumbe kitoto hivyo! Uwe na adabu kwa dada zako ebo!!!
Haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nilikuwa kwenye group letu la chuoni, ghafla siku hiyo mtu akarusha post, aliandika: HIVI WEWE..... (akitaja jina langu) UMEFANYA HILI GROUP NI MAKTABA, UMEKALIA KUSOMA TU, HATA SIKU MOJA HUTUMI CHOCHOTE HUMU KWENYE GROUP LETU......
Nilikasirika na kuleft muda huo huo, sipendagi ujinga.
Huna tofauti nae!!
Kumbe kitoto hivyo! Uwe na adabu kwa dada zako ebo!!!