Joketi: Kuna mtu namtamani sana kimapenzi

Joketi: Kuna mtu namtamani sana kimapenzi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo "jojo" amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Kupitia bonge moja la show weekend "the playlist" Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake "Leo leo" na Ice Prince

"Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yan namtamani sana kwa kweli lazima nitampata mtu lakin hakusema ni nani huyo, tusubiri tuone ila hasije kuwa mme wa mtu
!
 
Wewe jojo nimekuvumilia sana unavyomfuatilia mpenzi wangu basi tu hua sipendi kusema. Sasa basi, bahati yako awe sio yeye. Kama ndie yeye unayemaanisha umekwisha, this time siwezi kukaa kimya tena.
 
kama unahitaji fundi umeme...cctv...dish...computer...emu nicheki kwa 0713 190 118
 
nifah, ulijuaje? Ni kweli anamfuatilia na ndiyo mwenyewe ambae amedatanae, ila wewe si muislam?
Acha anusuru dini ya muumba, halafu musaidiane kumpayia shemeji wale wawili waliobaki
 
.....Huo mkao!!!!.....
 
Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Kupitia bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yan namtamani sana kwa kweli lazima nitampata mtu

lakin hakusema ni nani huyo,tusubiri tuone ila hasije kuwa mme wa mtu

Ebu concentrate kwny huo mkono wake wa kulia,uangalie kwa kuukazia macho unaona nn??!!
 
Hum namo kuna vituko na ucheshi labda anamanisha mimi sindio au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wapewe leseni tuu walipie ushuru waliongezee taifa mapato! tutambue uwepo wao.
 
Utabiri wangu ataku Milady Ayo😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom