Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utabiri wangu ataku Milady Ayoí-½í¸í-½í¸í-½í¸í-½í¸
Wewe jojo nimekuvumilia sana unavyomfuatilia mpenzi wangu basi tu hua sipendi kusema. Sasa basi, bahati yako awe sio yeye. Kama ndie yeye unayemaanisha umekwisha, this time siwezi kukaa kimya tena.
Hahahaaaa pole aisee akifanikiwa tuu kumchukua njoo kwangu
Hahahahaa hawezi bwana.Maana tokea aanze huo mchakato ni muda sasa.Ila alivyosema hivi ndio namie nikasema yangu.
Labda sio yeye maana huyu dada ni balaa.
Au ni Mimi maana huwezi jua
Wasanii wengi wana ngoma aka umeme ..
Kwenye list sijui ndo hao aliowalist? ?!!
ni mie lakini kachelewa nimehisi ana bikra
ngongoti kapita hapo..utaweza?
Toobaa!Ebu concentrate kwny huo mkono wake wa kulia,uangalie kwa kuukazia macho unaona nn??!!
Itakuwa anko jiwe
Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo "jojo" amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata
Kupitia bonge moja la show weekend "the playlist" Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake "Leo leo" na Ice Prince
"Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yan namtamani sana kwa kweli lazima nitampata mtu lakin hakusema ni nani huyo, tusubiri tuone ila hasije kuwa mme wa mtu!