Joketi: Kuna mtu namtamani sana kimapenzi

Joketi: Kuna mtu namtamani sana kimapenzi

Wewe jojo nimekuvumilia sana unavyomfuatilia mpenzi wangu basi tu hua sipendi kusema. Sasa basi, bahati yako awe sio yeye. Kama ndie yeye unayemaanisha umekwisha, this time siwezi kukaa kimya tena.

Hahahaaaa pole aisee akifanikiwa tuu kumchukua njoo kwangu
 
Hahahaaaa pole aisee akifanikiwa tuu kumchukua njoo kwangu

Hahahahaa hawezi bwana.Maana tokea aanze huo mchakato ni muda sasa.Ila alivyosema hivi ndio namie nikasema yangu.
Labda sio yeye maana huyu dada ni balaa.
 
Hahahahaa hawezi bwana.Maana tokea aanze huo mchakato ni muda sasa.Ila alivyosema hivi ndio namie nikasema yangu.
Labda sio yeye maana huyu dada ni balaa.

Au ni Mimi maana huwezi jua
 
Binti mwimba kwaya aneshindwa kuzuia pepo la ngono.
Hadi nyimbo katungia lol.
 
Au mimi maana nilikutana nae viwanja akawa ananishekea tu akawa ananiambia kuna kitu kinamtatiza ila anashindwa kuniambia teh teh teh ngoja nimbane leo aniambie
 
ni mie lakini kachelewa nimehisi ana bikra

ana bikra ya upande upi? maana, mlango wa mbele, wengu wanajua kitasa kibovu, si hata MEKU alipita yakamshinda mlango haufungi, ila huu wa NYUMA, kama unataka kukimbia msalani, hatujui, kma ni mlango wa JUNIA au wa MBAO
 
Mis no 2 anatamani wanaume mpaka anatunga wimbo. Jamaaaniii kwani hili shindao nani kalilogaaaa aaaaaaa che che chee
 
Amenifataa mara nne nimwambia sitaki ngoma huyu mdada huyu sjui anapepo la ngono
 

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo "jojo" amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Kupitia bonge moja la show weekend "the playlist" Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake "Leo leo" na Ice Prince

"Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yan namtamani sana kwa kweli lazima nitampata mtu lakin hakusema ni nani huyo, tusubiri tuone ila hasije kuwa mme wa mtu
!
Itakuwa anko jiwe
 
Back
Top Bottom