Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
kama unahitaji fundi umeme...cctv...dish...computer...emu nicheki kwa 0713 190 118
Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo jojo amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata
Kupitia bonge moja la show weekend the playlist Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake Leo leo na Ice Prince
Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yan namtamani sana kwa kweli lazima nitampata mtu
lakin hakusema ni nani huyo,tusubiri tuone ila hasije kuwa mme wa mtu
Ebu concentrate kwny huo mkono wake wa kulia,uangalie kwa kuukazia macho unaona nn??!!
kama unahitaji fundi umeme...cctv...dish...computer...emu nicheki kwa 0713 190 118
Juma nature