Jokha Kassim

We utakua unamuona Jokha kwenye tv. Huhamuona live.

1. Rangi si yake anaongeza weupe kwa mkorogo

2 nywele za kubandika si zake zile, hana kama mimi

3 shape sasa, ndo utachoka. Mbele ziro nyuma hakujulikani

4 avae high heels basi hata ft 4 hafiki.

Mbaya kuliko yote, kuimba hajui lkn hizo pozi zake. Mmmhu. Angekua kama Sabah mwinchacho sijui angeringaje
 
Ila leila na chiku nao haziivi afu wifi yao khadija yusufu anamsapoti chiku so mpk sasa leila na khadija wana bifu na hawaongei
 
Ila kweli leila namsifu kwa uvumilivu na ana mwili wa kupendeza kila nguo anayovaa inamkaa haswa...ni mzuri aisee
 
anajishaua katembea nae kipindi washaachana mpaka wakataka kupigana na leyla

ndio hapo, yeye angepigana na hasna moo maana mzee alivyomuacha akamuoa huyo.
Ila anamchokonoa leyla ni balaa.
Ndio maana leyla kwa wimbo wa sina muda huo amesema 'mie si mke mwenzio'
 
leyla wanadai ana majivuno ndo maana hawaelewani

halafu hataki hadija awe na maelewano na chiku hata ya salam.
Anataka hadija awe na yeye tu, kitu ambacho hakiwezekani.wote ni wifi zake lazima awe nao wote.
Sasa chiku nae tangu kalijua hilo ndio anamuumiza mwenzie kwan kila hadija akipanda jukwaani bi shost anaenda kumbusu na kummwagia mahela.
Basi ndio ananuna na kumnunia wifi yake.
Na inasemekana leyla ndio chanzo cha magomvi ya mzee na dadake maana anamjaza mzee maneno.
Leyla Alimfukuza hadija hospital alivyoenda kumuona mzee alivyopata tatizo la mguu.
Sasa inahusu kuingilia undugu wa watu
 
Kweli ni kafupi na hakana mwili
 
Kaka yangu kama umekosa mke niambie nikutafutie,ukitaka kuijua rangi ya jokha angalia video zake zamani wakati yupo melody jokha ni mweusi tii,na mawigi anavaa kama kawa,labda useme rangi ya mkorogo na sio rangi ya mtume,kwa leo kaka sikuungi mkono n'go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…