Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
hahahhaha, alimpenda enzi hizo yuko zenji. Kaja dar kapata wa bara. Chezea weweeeeehhh
Ila shoga nasikia joha alikua hajatulia,akawa anachepuka hadi mzee akamwaga!
Tho mzee nae si haba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhaha, alimpenda enzi hizo yuko zenji. Kaja dar kapata wa bara. Chezea weweeeeehhh
Hahahaaa na vile vimacho sasa?
Sijui mzee alimpendeaga nini
Ana uzuri gani yule?
Labda zamani kidogo sio sasa bwana,kisura chake tu hakieleweki...
Ila shoga nasikia joha alikua hajatulia,akawa anachepuka hadi mzee akamwaga!
Tho mzee nae si haba...
hata mie siwezi kuishi na mume kama mzee.
Ila joha roho inamuuma, anamuita mzee baba watoto wake.
Alihojiwa itv, nilijikuta namuonea huruma
Hahahaaa na vile vimacho sasa?
Sijui mzee alimpendeaga nini
joha aliachana na mzee kwa kashfa ya ushirikina inavyosemekana
akamuoa HASNA MOO shabiki wa taarabu km sikosei
na anamtaka mzee ndo maana haishi kutoa nyimbo za vidongo anajishaua
na uende lango la jiji umkute anavyojishembedua sasa
Kichuna na@nifah mzee katulia lini
hebu nnyamaze miee
leyla mvumilivu tuu ila yule bwana mmmmhhhhh
utulivu infinity
walikuwa wanakaa mtaa wa mpanda magomeni, jokha mwanzo wa mtaa mzee yusuph karibu na mwisho enzi hizo yuko na hasna moo. Hata sijui hasna kaishiaje maana nae alikuwa kajiona kafika, hakujua kama ile mali ya umma atii.
Joha alisema alitupiwa majini akiwa stejini akaanguaka na blah blah kibao.
leyla mvumilivu ndio ila pia kapunguza bhana tofauti na zamani skendo kila leo.
Siku hizi wake wawili na jahazi( band yake) basi vinamfanya awe busy kidogo
Umenena nifah,hana uzuri wowote,kuimba hajui anaimba kakunja ndita kama kahisi harufu ya kinyesi.
hana lolote mzee mali ya umma
ila shikamoo leyla ametulia nae sana ndo kinachomuuma joha maana alijua mwenzie anaenda kuona mkato wa chumba kumbee bibie katulia ndoani
ila nampenda na yule mke mwingine wa mzee chiku kazurii
akienda show peke ake ndo anamalizia michepuko yake hukohuko
sema wanawake hawana shida maana wanapata wanachokipata
hana lolote mzee mali ya umma
ila shikamoo leyla ametulia nae sana ndo kinachomuuma joha maana alijua mwenzie anaenda kuona mkato wa chumba kumbee bibie katulia ndoani
ila nampenda na yule mke mwingine wa mzee chiku kazurii
Huyu dada muimbaji wa muziki wa mwambao kweli ni ameumbika haswaaa. Sijui anafanya kazi na kundi gani kwa sasa
Rangi yake ni ile ya watu wa mashariki ya mbali au wanaita rangi ya mtume. Nywele za kuzaliwa sio za wigi, si mrefu wala mfupi yupo wastani. Kwa kweli mimi namkubali sana.
Sijui kama ni Single or married zaidi tu ni kwamba walizaa mtoto mmoja na mzee yusuph wakaachana.
Wana Jamiiforums mwenye mawasiliano yake ani-pm tafadhali, namzimikia sana, sijui kama mke wa mtu au vipi, au kama yupo humu ani-pm.
Kupenda si ajabu. Mwenye picha yake atuwekee.
kwenye wimbo wa domo la udaku kuna mistari hayo kwangu matapishi ww unayojivunia