Jokha Kassim

Jokha Kassim

hahahhaha, alimpenda enzi hizo yuko zenji. Kaja dar kapata wa bara. Chezea weweeeeehhh

Ila shoga nasikia joha alikua hajatulia,akawa anachepuka hadi mzee akamwaga!
Tho mzee nae si haba...
 
anaish mikocheni na ana bwana ake na pia anaishi na mtoto wake aliezaa na mzee yusuph... nipooze hela kidogo nikupeleke mpaka getini kwake maana nakaa nae mtaa mmoja..
 
Hahahaaa na vile vimacho sasa?
Sijui mzee alimpendeaga nini

Tafuta nyimbo inaitwa Wadhanifu.. Inasema Mtabaki kudhani hamjui kipi kiloniathiri mwangu moyoni, zogo mitaani kampata wapi wanaulizana haya hawaini... Laabda nimacho Yake, labda nywele zake, labda michezo yake, labda tabia yake...
 
Ana uzuri gani yule?
Labda zamani kidogo sio sasa bwana,kisura chake tu hakieleweki...

Umenena nifah,hana uzuri wowote,kuimba hajui anaimba kakunja ndita kama kahisi harufu ya kinyesi.
 
Ila shoga nasikia joha alikua hajatulia,akawa anachepuka hadi mzee akamwaga!
Tho mzee nae si haba...

basi atakuwa anajuuutaaaa.
Maana mzee kammwaga mazima.
Mzee ile ni mali ya umma aisee. Atleast now katulia kidogo
 
hata mie siwezi kuishi na mume kama mzee.
Ila joha roho inamuuma, anamuita mzee baba watoto wake.
Alihojiwa itv, nilijikuta namuonea huruma

joha aliachana na mzee kwa kashfa ya ushirikina inavyosemekana
akamuoa HASNA MOO shabiki wa taarabu km sikosei
na anamtaka mzee ndo maana haishi kutoa nyimbo za vidongo anajishaua
na uende lango la jiji umkute anavyojishembedua sasa
 
walikuwa wanakaa mtaa wa mpanda magomeni, jokha mwanzo wa mtaa mzee yusuph karibu na mwisho enzi hizo yuko na hasna moo. Hata sijui hasna kaishiaje maana nae alikuwa kajiona kafika, hakujua kama ile mali ya umma atii.
Joha alisema alitupiwa majini akiwa stejini akaanguaka na blah blah kibao.
 
Kichuna na@nifah mzee katulia lini
hebu nnyamaze miee
leyla mvumilivu tuu ila yule bwana mmmmhhhhh
utulivu infinity
 
Last edited by a moderator:
Kichuna na@nifah mzee katulia lini
hebu nnyamaze miee
leyla mvumilivu tuu ila yule bwana mmmmhhhhh
utulivu infinity

leyla mvumilivu ndio ila pia kapunguza bhana tofauti na zamani skendo kila leo.
Siku hizi wake wawili na jahazi( band yake) basi vinamfanya awe busy kidogo
 
Last edited by a moderator:
walikuwa wanakaa mtaa wa mpanda magomeni, jokha mwanzo wa mtaa mzee yusuph karibu na mwisho enzi hizo yuko na hasna moo. Hata sijui hasna kaishiaje maana nae alikuwa kajiona kafika, hakujua kama ile mali ya umma atii.
Joha alisema alitupiwa majini akiwa stejini akaanguaka na blah blah kibao.

hana lolote mzee mali ya umma
ila shikamoo leyla ametulia nae sana ndo kinachomuuma joha maana alijua mwenzie anaenda kuona mkato wa chumba kumbee bibie katulia ndoani
ila nampenda na yule mke mwingine wa mzee chiku kazurii
 
leyla mvumilivu ndio ila pia kapunguza bhana tofauti na zamani skendo kila leo.
Siku hizi wake wawili na jahazi( band yake) basi vinamfanya awe busy kidogo

akienda show peke ake ndo anamalizia michepuko yake hukohuko
sema wanawake hawana shida maana wanapata wanachokipata
 
hana lolote mzee mali ya umma
ila shikamoo leyla ametulia nae sana ndo kinachomuuma joha maana alijua mwenzie anaenda kuona mkato wa chumba kumbee bibie katulia ndoani
ila nampenda na yule mke mwingine wa mzee chiku kazurii

ila jokha aliachwa kitambo, akaolewa hasna then ndo hasna akakaa uke wenza na leyla.
Wale wake zake wote chiku na leyla wana moyo jamani.
 
akienda show peke ake ndo anamalizia michepuko yake hukohuko
sema wanawake hawana shida maana wanapata wanachokipata

chezea wazee wa michepuko wewe. Watapata tu pa kuchepuka hata chooni tu
 
hana lolote mzee mali ya umma
ila shikamoo leyla ametulia nae sana ndo kinachomuuma joha maana alijua mwenzie anaenda kuona mkato wa chumba kumbee bibie katulia ndoani
ila nampenda na yule mke mwingine wa mzee chiku kazurii

Kwenye wimbo wa domo la udaku kuna mistari hayo kwangu matapishi ww unayojivunia
 
Huyu dada muimbaji wa muziki wa mwambao kweli ni ameumbika haswaaa. Sijui anafanya kazi na kundi gani kwa sasa
Rangi yake ni ile ya watu wa mashariki ya mbali au wanaita rangi ya mtume. Nywele za kuzaliwa sio za wigi, si mrefu wala mfupi yupo wastani. Kwa kweli mimi namkubali sana.

Sijui kama ni Single or married zaidi tu ni kwamba walizaa mtoto mmoja na mzee yusuph wakaachana.
Wana Jamiiforums mwenye mawasiliano yake ani-pm tafadhali, namzimikia sana, sijui kama mke wa mtu au vipi, au kama yupo humu ani-pm.

Kupenda si ajabu. Mwenye picha yake atuwekee.

Moja... Hio rangi sio ya mashariki ya mbali... Usijidanganye kaka!!!

Mbili, hizo nywele ni wigi tu.. hebu angalia hio picha iliowekwa huko chini jinsi nywele zilivyokosa afya!!!

Tatu, wapo wazuri... Usisumbuke na hao wajitangazao....
 
Back
Top Bottom