Jolie Detta: Mwanamuziki wa Kwanza wa kike kuimba bendi ya TP Okk Jazz

sema nyimbo za zamani sijui zilikuwa zinaimbwaje yani,mtu unazaliwa unaukuta unaupuuza,ukiishakuwa mtu mzima ndio unaanza kuona uzito wa nyimbo husika hata kama huzielewi.

kama ule wa love ndaya,umetoka 65,mara ya kwanza kuusikia ilikuwa 95 nikauelewa nikidhani hauna maisha mengi kumbe eeeeh.
 
Haukutoka 65 ulitoka miaka ya 80 mpongo mwenyewe aliingia okk jazz miaka hiyo ya 80 na alifariki 1994
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…