ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,096
- 2,287
Franco aliwapa miwaya warembo wengi okk jazz kuna yule anaitwa mpongo love alikufa não mwaka 1994, franco yeye alikufa 1989
Dah! Mpongo love nakumbuka nyimbo yake ya NDAYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Franco aliwapa miwaya warembo wengi okk jazz kuna yule anaitwa mpongo love alikufa não mwaka 1994, franco yeye alikufa 1989
Yah mzuri kweliDah! Mpongo love nakumbuka nyimbo yake ya NDAYA
Hii ni Airport gano? Ya Kinshasa au Nigeria?Alivyo kwa sasaView attachment 2017187
Kuna mwingine alikua akiitwa Nyota Yondo ni pacha wa Yondo Sister waliimba pmj na Jolly Deta alikua mrembo sana pia, nadhani Franco alipita naye kipindi kile kile kafariki dunia.Franco aliwapa miwaya warembo wengi okk jazz kuna yule anaitwa mpongo love alikufa não mwaka 1994, franco yeye alikufa 1989
Nani?Mkuu ulianzisha uzi unaohusu mziki wa Congo ulipotelea wapi?
Dah ngoma iliwamaliza, una detais zaidi kuhusu mume wa Jolie Detta?Kuna mwingine alikua akiitwa Nyota Yondo ni pacha wa Yondo Sister waliimba pmj na Jolly Deta alikua mrembo sana pia, nadhani Franco alipita naye kipindi kile kile kafariki dunia.
Ukiangalia kuna wengi hasa T.P Okk Jazz walifariki kipindi cha 1989 na 1996!
Mfano Djo Mpoyi, Ntessa Daliest,Jerry Dialunguma,Mpundi Deca,Aime Kiwakana na wengine wa miaka iliyofuatia ni wengi mno.
Mziki huo umepoteza wanamziki wengi hasa Tp Ok na Zaiko langa langa.
Mpongo Love ana sauti nzuri na ya kipekee kuwahi kutokea, inasemakana alkufa kwa changamoto ya uti wa mgongo.Franco aliwapa miwaya warembo wengi okk jazz kuna yule anaitwa mpongo love alikufa não mwaka 1994, franco yeye alikufa 1989
inawezekana hakuwa na ngoma, hata Kida wazir walisema hivyo hivyo kwa maneti hadi leo mama anadunda kama sikoseiKama mumewe alikufa Kwa ukimwi iweje asavive hadi Leo kumbuka kipindi kile hakukuwa na ARVs
Jamani bado sajaupata!Kuna wimbo niliupenda sana, nimejaribu kutafuta youtube nimeshindwa. Makumbuka kibwagizo kidogo:
Mugo simama turudi nyumbani kwetu nyumbani bwana
Unihurumie sababu yake ilipita zamani tutunze batoto betu babaaa!
Naomba mwenye kujua jina na muimbaji wa huo wimbo tafadhali
Uti wa mgongo?M
Mpongo Love ana sauti nzuri na ya kipekee kuwahi kutokea, inasemakana alkufa kwa changamoto ya uti wa mgongo.
Exactlyni mademu wawili mmoja anaitwa Baniel mwingine Nana, pia kuna wimbo mmoja wameimba wakiwa hapo OK Jazz mzuri sana
huu nakoma na PDG unahusu mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na CEO
Mkuu, ulipotea Sana jukwaaniExactly
Jukwaani Nipo daily mkuu,but Once nilikuwa busy kidogoMkuu, ulipotea Sana jukwaani
Very bitter [emoji18][emoji18]Kuna mwingine alikua akiitwa Nyota Yondo ni pacha wa Yondo Sister waliimba pmj na Jolly Deta alikua mrembo sana pia, nadhani Franco alipita naye kipindi kile kile kafariki dunia.
Ukiangalia kuna wengi hasa T.P Okk Jazz walifariki kipindi cha 1989 na 1996!
Mfano Djo Mpoyi, Ntessa Daliest,Jerry Dialunguma,Mpundi Deca,Aime Kiwakana na wengine wa miaka iliyofuatia ni wengi mno.
Mziki huo umepoteza wanamziki wengi hasa Tp Ok na Zaiko langa langa.