Jolie Detta: Mwanamuziki wa Kwanza wa kike kuimba bendi ya TP Okk Jazz


luambo makiadi asante sana kwa post hii, mimi pia niliwahi mtafuta Jolie Detta mitandaoni na taarifa niliyopata ni kuwa alifariki, nimefurahi kujua kuwa ni mzima. Kwa kweli sauti yake ni ya dhahabu haswa katika wimbo Massu. Asante sana.
 
Nadhani ametumia mkorogo ukiangalia picha yake ya zamani alikuwa na rangi yake ya asili!!
Mucongoman bila mukorogo maisha haiendi. Banacongo Hadi wanaume wanajichubua. Mtizame Koffi mikononi Ana sugu kama za shilole[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…