Jomo Kenyata University ni chuo kizuri kinachotambulika?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Please naomba msaada wenu. Nataka kuchukua form Jomo Kenyata University Arusha branch for post graduate project management course.

Naomba mwenye kujua chochote before sijatake hiyo hatua wiki ijayo. Kwa sasa mimi ni muajiriwa.
 
asante sana ngoja nefeed form zao j3 nipeleke

Kama kweli unaenda kusoma post graduate na bado lugha utakayotumia kwenye masomo inakutatiza, napata wasiwasi kama kweli utaweza kumaliza salama au utaishia njiani.Lakini kwa haraka haraka kwa jinsi ulivyoandika nimejiridhisha kuwa wewe pia ni zao la BRN.
 
Please naomba msaada wenu. Nataka kuchukua form Jomo Kenyata University Arusha branch for post graduate project management course.

Naomba mwenye kujua chochote before sijatake hiyo hatua wiki ijayo. Kwa sasa mimi ni muajiriwa.

Kwanini usisome Master kabisa? Tofauti ya PG na Master ni kwamba PG hutafanya Research hivyo ingawaje umesoma masomo yale yale ya Master bado huhesabiki kwenye kundi la wenye Master. Ni ushauri tuu
 
Kwani nyinyi huko TZ kuna tofauti ya Post-graduate na Masters. Huku post graduate degree ni masters. waweza pata post-graduate diploma. Unapochagua postagrduate degree, mwenyewe utaamua kama wataka ile ya Thesis, au ya Project. Unapofanya ya Thesis basi kwa kawaida utakubaliwa kufanya PHD. Usipofanya ya thesis ufanye ya project, basi hutakubalika kufanya PHD.
 
unaposema post graduate unamaanisha elimu baada ya degree ya kwanza. so mleta uzi unesema unataka ufanye post graduate ya project management bt hujasemaa ni ipi kati ya hilo fungu la post graduate programme ambazo ni
1. postgraduate diplomas
2. masters
3. phd.
 
Kwani nyinyi huko TZ kuna tofauti ya Post-graduate na Masters. Huku post graduate degree ni masters. waweza pata post-graduate diploma. Unapochagua postagrduate degree, mwenyewe utaamua kama wataka ile ya Thesis, au ya Project. Unapofanya ya Thesis basi kwa kawaida utakubaliwa kufanya PHD. Usipofanya ya thesis ufanye ya project, basi hutakubalika kufanya PHD.

PG inabaki kuwa PG na hata kwenye employment opportunity hawatangazi sifa hii ya PG; bali ni Degree ya kwanza, MSc / MBA, Professional qualification etc.
 
Prob Arusha Mzumbe kimbilio la wengi kwa masters ( nazungumzia issue ya fee) hawajafika ..mwaka jana walijitangaza wanakuja tuchukue form watu tukachukua mwisho wa siku wakasema kuitikio haukua mkubwa watapata hasara...tuna vyuo vichache kwa masters na vyenye limit ya masomo
 
Kuna ESAMI, IAA, Mount Meru University.
 
Kuna ESAMI, IAA, Mount Meru University.

ESAMI mil 11 baba kujisomesha mwenyewe usawa huu?labda ofisi inipe offer but lini? IAA kuna za watu wa FINANCE ndo wenye wigo mpana.....MOUNT MERU wanataka mwisho GPA 3..mi nina 2.9
 
It is better you wait untill you are financially capable. PGD ni kupoteza muda kama wewe ni wa kuajiriwa; ukiangalia matangazo yote ya kazi wala PGD haizungumzwi kabisa ni First Degree, Master / MBA added advantage. Mimi katika Master yangu uelewa wangu ulipanuka sana kwenye kuandaa Dessertation na kwa kuwa kazi zangu zinahusiana kutoa report, uandishi wangu wa report sasa ni tofauti sana. Kaza buti, kama una access ya internet unaweza hata kusoma ONLINE. Tofauti ONLINE is too demanding hakuna excuse kwa Professor wako
 
Please naomba msaada wenu. Nataka kuchukua form Jomo Kenyata University Arusha branch for post graduate project management course.

Naomba mwenye kujua chochote before sijatake hiyo hatua wiki ijayo. Kwa sasa mimi ni muajiriwa.

lets hear it from the horse's mouth. lawmaina78 & waltham you're in kenya and JKU originates there. pls help him.
 
Last edited by a moderator:
It is better you wait untill you are financially capable. PGD ni kupoteza muda kama wewe ni wa kuajiriwa; ukiangalia matangazo yote ya kazi wala PGD haizungumzwi kabisa ni First Degree, Master / MBA added advantage. Mimi katika Master yangu uelewa wangu ulipanuka sana kwenye kuandaa Dessertation na kwa kuwa kazi zangu zinahusiana kutoa report, uandishi wangu wa report sasa ni tofauti sana. Kaza buti, kama una access ya internet unaweza hata kusoma ONLINE. Tofauti ONLINE is too demanding hakuna excuse kwa Professor wako

Una point nzuri na nzitooo...
 
Please mwenye za kuongezea naomba mniendelee kunipa hints
 
ESAMI mil 11 baba kujisomesha mwenyewe usawa huu?labda ofisi inipe offer but lini? IAA kuna za watu wa FINANCE ndo wenye wigo mpana.....MOUNT MERU wanataka mwisho GPA 3..mi nina 2.9

2.7 unakubalika kusoma masters hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom