Sasa mbona nikiwazoza mnanitosa, na kulisema liavatar langu libaya...!!??inaanzaje kutukosea na inatupa raha mkuu?
acha hizo basi na pia usiitoe kabisa
kunywa sodaMadem hao wa "jomoni" hua wana fake mno life
mimi akhuuu naipenda mieSasa mbona nikiwazoza mnanitosa, na kulisema liavatar langu libaya...!!??
Umeona PM yangu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]mimi akhuuu naipenda mie
weee sijaona bhana...ningefurahi sana maana mimi sijawahi pata PM naisikiaga tuUmeona PM yangu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Tayari, lakini usintangaze....tehteehhweee sijaona bhana...ningefurahi sana maana mimi sijawahi pata PM naisikiaga tu
hebu fanya utume kweli
unajua labda inaweza kuwa tayari ila si nimesema sijawahi pata PM? mie sioni kitu bhana labda sijui kuangaliaTayari, lakini usintangaze....tehteehh
Duhhh....[emoji85] [emoji85] [emoji85]unajua labda inaweza kuwa tayari ila si nimesema sijawahi pata PM? mie sioni kitu bhana labda sijui kuangalia
PM si ni hapa hapa mkuu? ama natakiwa nitoke nje ndo nitaiona
ππππππDuhhh....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tayari umesha nitweza, na sijui hii aibu nitaificha wapi ...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]