"jomoni" maana yake Nini?

"jomoni" maana yake Nini?

unajua labda inaweza kuwa tayari ila si nimesema sijawahi pata PM? mie sioni kitu bhana labda sijui kuangalia
PM si ni hapa hapa mkuu? ama natakiwa nitoke nje ndo nitaiona
Duhhh....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tayari umesha nitweza, na sijui hii aibu nitaificha wapi ...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kudekewa kuna raha yake. Waache wafanye hivyo. Na ukimpata yule mwenye macho ya marembo dah..
 
Back
Top Bottom