mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama.
Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani.
Muhusika mkuu aliyefanikisha hiyo miamala anadaiwa kuwa ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Simba ulijiridhisha pasi na shaka kuwa ni yeye baada ya mechi kuisha.
Malipo ni hapahaoa duniani, Mkude na Chama maisha yao pale jangwani hayawezi kuwa ya furaha, hawaaminiki
Mechi ya juzi na zile 2 tulifungwa kihalali kabisa Yanga kwa sasa wanakikosi imara sana