Tetesi: Jonas Mkude alivyowaponza wachezaji watano wa Simba kwa tuhuma za kuuza mechi ya derby

Tetesi: Jonas Mkude alivyowaponza wachezaji watano wa Simba kwa tuhuma za kuuza mechi ya derby

Yanga haina uwezo wa kuifunga Simba 5,ipo wazi hiyo..pasipo kubebwa na kuhonga lazima wale chuma hata kama Simba sc wapo 8 uwanjani
Wahi kwenye clinic yako kule Mirembe tarehe yake imefika haraka nakukumbusha ni kesho mzee, ila usisahau kupitia kadi yako ya matibabu unayotunza kwa Mzee Rage kule kwenu mbumbumbu street.

Kila mwenye akili ameona derby bila Sasii kuwatoa Yanga mchezoni kwa kutoa faulo upande mmoja tu wa Simba na kuzuia kila shambulizi la Yanga baada ya kupora mpira, haki ya shetani, mngekula chuma 6 au 7 , tafuta mtu anaesemaga ukweli kamuulize kuhusu mziki wa uto, kawaulize Azam ulimi nje, nadhani itakuwa umesepa Mirembe kabla ya daktari kupita round.

Kama mtani huna macho ya kuona pira Gamondi ujue dish lako limeyumba!

Wakati mwingine hasira zikizidi huleta upofu!! Kama vipi hamia uto!
 
Yanga wachawi mno halafu wanahonga.
20240526_073944.jpg

Yanga hao wakiroga katikati ya kiwanja kwa kuwasha moto huko south africa
 
Unabofoa mno mkuu dah! Dimba ndio timu gani? Yabga ndio mboga gani ya majani?
"Vixuri" yake nikajua kaandika "Vixen" yani mnenguaji, kumbe "Vixuri" yake ana maana ni "Vizuri", simba wengi madishi yameyumba kichapo kimezidi au nae ni uto kama mimi?!
 
Kama siyo refa, basi juzi zilikiwa 4, na hizo wangewatuhumu wachezaji kuhongwa? Vipi kuhusu zile 2 za mechi ya juzi?
Ngao ya jamii imethibitisha kwamba wai ni namba 3 halali, je wanasemaje kuhusiana na hilo?
Basi mngeomba tucheze bila refa.
 
Back
Top Bottom