Watu kama nyie ndio mnaofanya mashabiki wote wa Simba tuonekane mbumbumbuIle mechi ya derby simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama.
hama maisha yao pale jangwani hayawezi kuwa ya furaha,hawaaminiki
Huu. Hauna ushahidi wowote unaongea kwa hisia tuIle mechi ya derby simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama.
e na Chama maisha yao pale jangwani hayawezi kuwa ya furaha,hawaaminiki
Kama siyo refa, basi juzi zilikiwa 4, na hizo wangewatuhumu wachezaji kuhongwa? Vipi kuhusu zile 2 za mechi ya juzi?Ile mechi ya derby simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama.
Wachezaji 5 wa Simba,Chana,Manula,Saidoo,Inonga na Baleke,walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani.
Muhusika mkuu aliyefabikisha hiyomiamala ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Dimba ulijiridhisha pasi na shaka kuwa ni yeye baada ya mechi kuisha.
Malipo ni hapahaoa duniani,Mkude na Chama maisha yao pale jangwani hayawezi kuwa ya furaha,hawaaminiki
Mechi ya juzi tumefungwa kihalali,yabga wako vixuri kuliko dimba,ila sio kufungwa goli 5Kama siyo refa, basi juzi zilikiwa 4, na hizo wangewatuhumu wachezaji kuhongwa? Vipi kuhusu zile 2 za mechi ya juzi?
Ngao ya jamii imethibitisha kwamba wai ni namba 3 halali, je wanasemaje kuhusiana na hilo?
Bado hamjasema mbumbumbuYanga haina uwezo wa kuifunga Simba 5,ipo wazi hiyo..pasipo kubebwa na kuhonga lazima wale chima hata kama Simba sc wapo 8 uwanjani
AlooKwani uongo,simba wote sisi ni mbumbumbu
Unabofoa mno mkuu dah! Dimba ndio timu gani? Yabga ndio mboga gani ya majani?Mechi ya juzi tumefungwa kihalali,yabga wako vixuri kuliko dimba,ila sio kufungwa goli 5
Kuanzia leo nimekuona wa ovyo baada ya kuandika uzi huuIle mechi ya derby simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama.
Wachezaji 5 wa Simba,Chana,Manula,Saidoo,Inonga na Baleke,walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani.
Muhusika mkuu aliyefabikisha hiyomiamala ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Dimba ulijiridhisha pasi na shaka kuwa ni yeye baada ya mechi kuisha.
Malipo ni hapahaoa duniani,Mkude na Chama maisha yao pale jangwani hayawezi kuwa ya furaha,hawaaminiki
Mechi ya juzi na zile 2 tulifungwa kihalali kabisa yanga kwa sasa wanakikosi imara sana