babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa sasa kuangalia jukumu lililopo mbele yao. Sio bure pamoja na kukosa penalti alionesha utulivu.
Kifupi katika kipindi kama hiki, yeye ni mchezaji kiongozi sahihi kabisa.
Mchezaji kiongozi.
Kifupi katika kipindi kama hiki, yeye ni mchezaji kiongozi sahihi kabisa.
Mchezaji kiongozi.