Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Yaan kama kuna mchezaji nimemheshimu msimu huu n mkude
Mkude anajua fursa
Mkude alipoitwa Yanga, Simba walimbeza sana sana
Wakamdharau lakini akaisaidia yanga
Leo hii viongozi wa mashabiki wanalia mbona wanaochukuliwa na yanga toka simba wanacheza vizuri shida ikowapi?
Haitoshi chamahuyooo jaman weh lazima waulizwe wachezaji wa simba shida nn alisikika kiongozi wa mashabiki
Sasa wakati maalum wa kuielewa Yanga haibebi tu kama mzoga inaona fursa na mchezaji anaitikia fursa maisha yanaenda
Kila la kheri kaka mkude bocc yuko jkt leohiii msalimie ukikutana nae bahana tulimtamani aje sema kumejaaaaaa