Jonas Mkude apimwe akili kama akikubali gwaride la heshima la Simba

Jonas Mkude apimwe akili kama akikubali gwaride la heshima la Simba

Kwani wagonjwa hawaponi? Na wakipona hawapewi nafasi?
Vijana wetu wamevurugwa hawana muda wakujiuliza!
Ikiwa mheshimiwa Spika aliejiuzulu licha ya Uzee wake na kuonekana hajapona vizuri lakini bado yupo mjengoni na waheshimiwa wengine anatumikia taifa iweje ishindikane kwa kijana mdogo Mkude kurejea Simba kwa majukumu tofauti na yaawali!?
 
Wanashangaza sana
 
.
IMG-20230628-WA0001.jpg
 
Vijana wetu wamevurugwa hawana muda wakujiuliza!
Ikiwa mheshimiwa Spika aliejiuzulu licha ya Uzee wake na kuonekana hajapona vizuri lakini bado yupo mjengoni na waheshimiwa wengine anatumikia taifa iweje ishindikane kwa kijana mdogo Mkude kurejea Simba kwa majukumu tofauti na yaawali!?
Tofautisha iyenaiyena ya akina jecha s jecha na mpira wa miguu. Kama uongozi una uhakika 100% kuwa mkude ni mtoto halisi wa kinondoni, anaekunywa pombe, kuvuta bhagi, totos na starehe nyingine wanamkejeli na kumhadaa kumwambia eti arudi TU watampa uongozi pale Simba. Yaani aje awaambukize wachezaji hiyo tabia? au wanamuona ni zuzu atawaamini wanachosema. Wanachosema kwa mkude ni style ambayo wameiazima kutokana CCM. Wakati wa uchaguzi ukikatibia CCM huwa inaendesha kura za maoni kwa wagombea wote ili kuwapata wanaowataka na kuwaengua wasiowatakia, hivyo ili wale walioenguliwa wasihamie vyama vya upinzani kwa hasira huwa wanawazubaisha kwa kuwaambia wale wote waliokatwa majina Yaona walioshindwa kwenye kura za maoni watulie watapata kazi nyingine kwenye Chama na serikalini. Mbinu hii inasaidia kuwabakiza "mazuzu" walioenguliwa ndani ya Chama wasiende kugombea kwa tiketi za vyama vya upinzani, na wengi wao baada ya uchaguzi kupita wanasubiriweeeeeeeee kusikia majina Yao lakini waaaaapii!!! hadi miaka 5 tena.
 
Nashanga na ss yanga tunqkurupuka nae as if Kama ni wa maana
 
Back
Top Bottom