Kapewa uchezaji bora wa Dec 2021 na kaandikwa kwa official page ya Simba, unataka mpk ajengewe sanamu na liwekwe mlango wa bunge ndo uridhike?nimeonesha njia lakini kiofficial zaidi ndiyo inapendeza hata mchezaji mwenyewe anaona kumbe hata club ipo pamoja nami kwenye shida na raha
Mbona watanzania wanajua kama anafanya vizur... Na mashabiki wenyew wa simba wamepiga kura na kumpa tuzo ya mchezaji bora wa mashabikiwa simba mwez December kupitia EMIRATES ALUMINUM ACP... Achana na wale wachambuz wamichongo.. Kwamba mtu akifanya vizur lazima awe gumzo that is wrong...kipindi kile ana matatizo kila mtanzania alilijua hilo na sasa hivi kwa vile anafanya vizur ilipaswa kila mtanzania ajue pia hilo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji881][emoji881]Kapewa uchezaji bora wa Dec 2021 na kaandikwa kwa official page ya Simba, unataka mpk ajengewe sanamu na liwekwe mlango wa bunge ndo uridhike?
Acha atimize kinachompa ugali!
kwa nini hadi usubiri wakati wa tuzoNdio maana kapewa tuzo mchezaji bora wa mwezi, au mkuu ulikuwa unapewe nini?
Nyumba au gari.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
kwa mfano baba muungwana akiona mwanaye anafanya vizur darasani atamwambia hongera mwanangu ongeza bidii japokuwa ni jukumu lake kufanya vizur hatosubir hadi matokeo ya mwisho ndiyo aseme mwanangu naona umekuwa wa kwanza darasa zima hongeraMbona watanzania wanajua kama anafanya vizur... Na mashabiki wenyew wa simba wamepiga kura na kumpa tuzo ya mchezaji bora wa mashabikiwa simba mwez December kupitia EMIRATES ALUMINUM ACP... Achana na wale wachambuz wamichongo.. Kwamba mtu akifanya vizur lazima awe gumzo that is wrong...
Yuko pale kucheza mpira sio kulewa uwanjani,unataka ajengewe sanamu msimbazi au,ile tiba ya ugonjwa wa akili ndio imemsaidia kuwa alivo sasaHellow JF
Kipindi kile waliposema jamaa ana matatizo ya akili hadi wakamsafirisha kwenye matibabu alitangazwa kwenye media sana.
Lakini kiukweli huyu jamaa Jonas Mkude tokea arudishwe kwenye kikosi amekuwa bora sana anaupiga mwingi pale kati lakini hawampi ile sifa anayostahili kwenye media shida ni nini hasa??
Kwa mtazamo wangu nilitegemea SSC wampe haki yake hadharani sio tu kwenye mabaya ndiyo wanatangaza kwa maana hiyo wanasubiri hadi afanye madudu ndiyo wayaseme mzani inabidi ubalance kote kote au hawaoni anayofanya pale kati ya dimba tokea arudi kikosini??View attachment 2067948View attachment 2067946
huyu hana nidhamu anarukiarukia wenzie ugokonisio uchochez mkuu mm nimesema kile ninachokiona
Kwa maana hiyo hata ile tuzo ya Dec hakustahili??Mkude Kiwango alichonacho pale Simba ni Cha kawaida amshukuru Mungu mbaka Leo pamoja na vituko vyake Kuendelea kupata nafasi.
Mzamiru anajituma Sana kuliko mkude Ila hana nyota ya kupendwa. Mimi nahisi mkude Kuna mtu mkubwa yupo nyuma yake la sivyo Kwasasa angekua anacheza ndondo mtaani.
Izi tuzo ni za mchongo, una chukua nusu una acha nusu, ata usipocheza mechi ata moja unaweza ukapewa Cha kuzingatia ni masharti tu.Kwa maana hiyo hata ile tuzo ya Dec hakustahili??
kumbuka kuwa hawa wachezaji wawili wapo tofauti kiuchezaji wawapo uwanjani
Unapomlipia mtoto ada atakuambia ahsante hapo tu moja kwa moja ameonesha appreciationJee unapowalipia wanao school fees unahitaji kusifiwa kwa kitendo hicho? Au unapoweka ATM Card yako kwenye ATM Machine ikitoa hela unaipigia vigelele?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Apewe zawadi au?Hellow JF
Kipindi kile waliposema jamaa ana matatizo ya akili hadi wakamsafirisha kwenye matibabu alitangazwa kwenye media sana.
Lakini kiukweli huyu jamaa Jonas Mkude tokea arudishwe kwenye kikosi amekuwa bora sana anaupiga mwingi pale kati lakini hawampi ile sifa anayostahili kwenye media shida ni nini hasa??
Kwa mtazamo wangu nilitegemea SSC wampe haki yake hadharani sio tu kwenye mabaya ndiyo wanatangaza kwa maana hiyo wanasubiri hadi afanye madudu ndiyo wayaseme mzani inabidi ubalance kote kote au hawaoni anayofanya pale kati ya dimba tokea arudi kikosini??View attachment 2067948View attachment 2067946
Unajua mkuu watu asilimia kubwa hatujakuelewa unamaanisha nini au unataka nini kifanyike, Mkude kile kipindi kasimamishwa watu walitaka wajue Kwa nini hachezi, hivo Simba kama taasisi ilikuwa na jukumu la kutoa taarifa kwa washabiki Kwa nini Mkude haonekaniHellow JF
Kipindi kile waliposema jamaa ana matatizo ya akili hadi wakamsafirisha kwenye matibabu alitangazwa kwenye media sana.
Lakini kiukweli huyu jamaa Jonas Mkude tokea arudishwe kwenye kikosi amekuwa bora sana anaupiga mwingi pale kati lakini hawampi ile sifa anayostahili kwenye media shida ni nini hasa?
Kwa mtazamo wangu nilitegemea SSC wampe haki yake hadharani sio tu kwenye mabaya ndiyo wanatangaza kwa maana hiyo wanasubiri hadi afanye madudu ndiyo wayaseme mzani inabidi ubalance kote kote au hawaoni anayofanya pale kati ya dimba tokea arudi kikosini?
View attachment 2067948
hoja yangu ni hivi tuzo si huwa inatolewa mwishon mwa mwez tena sisi washabik ndiyo tunapiga kura lakin hapo kabla ya tuzo kwa nini hawakuonesha appreciation kwakeUnajua mkuu watu asilimia kubwa hatujakuelewa unamaanisha nini au unataka nini kifanyike, Mkude kile kipindi kasimamishwa watu walitaka wajue Kwa nini hachezi, hivo Simba kama taasisi ilikuwa na jukumu la kutoa taarifa kwa washabiki Kwa nini Mkude haonekani
Haya let's say kapona na karejea uwanjani kucheza kama mwanzo, maana yake kwa lugha rahisi ni kwamba Kwa sasa hana tena tatizo ambalo lilikuwa likimkabili, na amerejea Kila mmoja anaona uwezo wake uwanjani
Sasa swali linakuja we ulitaka Simba wafanye nini labda ili uone wako sahihi? Namna ya kujali na kuheshimu kazi ya mchezaji/mfanya kazi ni kumpatia tuzo na bonus kulingana na masharti ya taasisi, haya amepewa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi na hapo huoni kama teyari wanasimba wamemuonesha upendo na Heshima aliyokuwa kaipoteza wakati hachezi?
Hebu tujuze mkuu we ulitaka Simba wafanye nini hasa
Kuonesha Appreciation kivipi mkuu, kufupisha story ulitaka wafanye nini exactly?hoja yangu ni hivi tuzo si huwa inatolewa mwishon mwa mwez tena sisi washabik ndiyo tunapiga kura lakin hapo kabla ya tuzo kwa nini hawakuonesha appreciation kwake