Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Kapewa uchezaji bora wa Dec 2021 na kaandikwa kwa official page ya Simba, unataka mpk ajengewe sanamu na liwekwe mlango wa bunge ndo uridhike?nimeonesha njia lakini kiofficial zaidi ndiyo inapendeza hata mchezaji mwenyewe anaona kumbe hata club ipo pamoja nami kwenye shida na raha
Acha atimize kinachompa ugali!