Jonas Mkude inabidi apewe heshima yake

Jonas Mkude inabidi apewe heshima yake

Kuonesha Appreciation kivipi mkuu, kufupisha story ulitaka wafanye nini exactly?
kutoa official statement kwa mfano wadau na wana Simba kwa ujumla tunashukuru mchezaj wetu ambaye hapo awali alikuwa anasumbuliwa na hili lakini sasa hivi yupo vzr na amebadilika kama munavyomuona wenyewe na tunasupport kwa kile anachoonesha uwanjani kwa sasa uongozi na team zima ya SSC tupo pamoja naye .

Ninasema kwa Mkude kwa sababu naye ni binadamu pia mimi na wewe hatuwezi jua kipindi kile alikuwa anajisikiaje baada ya watz wote kusikia ile kauli na hatujui alikuwa anapitia changamoto gani ya kisaikolojia kwa wakat ule.
 
Hakuna taasisi inaweza kufanya hivo mkuu, maana yake ni kama vile mchezaji yupo juu ya club au taasisi, wafanye hivo alafu akikosea Tena? Warudi tena kutuomba radhi kwamba walidhani kapona jumla jumla? Mkude tabia zake ni kama homa za vipindi ni swala la muda tu atarudia Tena

Appreciation aliyopewa ni kurudishwa kikosini kuitumikia club maana ile ndio kazi yake, maana walikuwa na uwezo wa kuendelea kumwacha nje ya kikosi kulingana na ukubwa wa tatizo lake ila hadi anarudi maana yake teyari wameheshimu kazi yake na uwezo wake

Appreciation ingine ni yeye kuwa nominated katika tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mara 2 mfululizo, ambapo hatimae mwezi Dec ameshinda, kumbuka katika hizi tuzo club ndio inakaa na kuchagua wachezaji wa3 ambao watakuja kupigiwa kura na mashabiki

Kwa maana hiyo kuanzia ndani ya uongozi wa Simba wameheshimu nachokifanya Mkude Kwa miez 2 Sasa ndomana wanamweka kwenye category, na kupitia hizo category mashabiki na wao wameonesha kuheshimu mchango wake na kumchagua mchezaji bora wa mwezi

Mchezaji atapewa adhabu kulingana na kanuni na taratibu za club zilivo na mchezaji atapewa appreciation kulingana na utaratibu wa club full stop, Mkude mpira ndio kazi yake hivo anatakiwa aifanye Kwa bidii na kuiheshimu maana ndio inayompa ugali na kufanya tumjue na kumfatilia

walikuepo hapo kina Luis Jose Wana perform Kwa levo ya juu na kujitoa sana Kila mechi utazani Team ya familia yao ila walikuwa hawapati hizo appreciation zaidi ya hizi tuzo za mchezaji bora wa mwezi na mchezaji bora wa msimu maana ye yupo kazini hivo atapata kile anachostahili tu
 
[emoji106]nimekusoma[emoji106]
 
Hellow JF

Kipindi kile waliposema jamaa ana matatizo ya akili hadi wakamsafirisha kwenye matibabu alitangazwa kwenye media sana.

Lakini kiukweli huyu jamaa Jonas Mkude tokea arudishwe kwenye kikosi amekuwa bora sana anaupiga mwingi pale kati lakini hawampi ile sifa anayostahili kwenye media shida ni nini hasa?

Kwa mtazamo wangu nilitegemea SSC wampe haki yake hadharani sio tu kwenye mabaya ndiyo wanatangaza kwa maana hiyo wanasubiri hadi afanye madudu ndiyo wayaseme mzani inabidi ubalance kote kote au hawaoni anayofanya pale kati ya dimba tokea arudi kikosini?

View attachment 2067948
Pengine ulitaka apewe heshima yake kwa kiwango kipi kama endapo mashabiki wametambua mchango wake mpaka wamemchagua kuwa mchezaji wa mwezi na akapata zawadi.
 
Anigrain kwenye post namba 44 amejibu vyema imeisha hiyo
 
Kwani anafanya hisani au?
Ni pro anafanya yanayotakiwa kufanywa.
Kwa kuwa huwa unachelewa kazini unalaumiwa na kutishiwa kufukuzwa.
Siku ukiwahi unatakiwa kusifiwa?
Afu mkude kapewa mchezaji bora december, unataka sifa gani?
Mbona mnajibu kibabe mkuu. Mtoa mada alichosema ni sahihi kwa sasa hivi kiwango chake ni kiko juu sana hivyo wachambuzi au mashabiki waonyeshe kuona anachofanya

Mbona humu mnawasifiagi kina fei, kagere, na wengineo kwani hawalipwi?
 
Hakuna taasisi inaweza kufanya hivo mkuu, maana yake ni kama vile mchezaji yupo juu ya club au taasisi, wafanye hivo alafu akikosea Tena? Warudi tena kutuomba radhi kwamba walidhani kapona jumla jumla? Mkude tabia zake ni kama homa za vipindi ni swala la muda tu atarudia Tena

Appreciation aliyopewa ni kurudishwa kikosini kuitumikia club maana ile ndio kazi yake, maana walikuwa na uwezo wa kuendelea kumwacha nje ya kikosi kulingana na ukubwa wa tatizo lake ila hadi anarudi maana yake teyari wameheshimu kazi yake na uwezo wake

Appreciation ingine ni yeye kuwa nominated katika tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mara 2 mfululizo, ambapo hatimae mwezi Dec ameshinda, kumbuka katika hizi tuzo club ndio inakaa na kuchagua wachezaji wa3 ambao watakuja kupigiwa kura na mashabiki

Kwa maana hiyo kuanzia ndani ya uongozi wa Simba wameheshimu nachokifanya Mkude Kwa miez 2 Sasa ndomana wanamweka kwenye category, na kupitia hizo category mashabiki na wao wameonesha kuheshimu mchango wake na kumchagua mchezaji bora wa mwezi

Mchezaji atapewa adhabu kulingana na kanuni na taratibu za club zilivo na mchezaji atapewa appreciation kulingana na utaratibu wa club full stop, Mkude mpira ndio kazi yake hivo anatakiwa aifanye Kwa bidii na kuiheshimu maana ndio inayompa ugali na kufanya tumjue na kumfatilia

walikuepo hapo kina Luis Jose Wana perform Kwa levo ya juu na kujitoa sana Kila mechi utazani Team ya familia yao ila walikuwa hawapati hizo appreciation zaidi ya hizi tuzo za mchezaji bora wa mwezi na mchezaji bora wa msimu maana ye yupo kazini hivo atapata kile anachostahili tu
Bora wewe chief umetoa ufafanuzi wa kueleweka
 
Bongo bana,yaani mtu anataka asifiwe wakati anatumiza majukumu yake. Mshahara analipwa na mashabiki wamempa tuzo. Haya ya kuimbwa kama Sakho ni nyota tu
 
hoja yangu ni hivi tuzo si huwa inatolewa mwishon mwa mwez tena sisi washabik ndiyo tunapiga kura lakin hapo kabla ya tuzo kwa nini hawakuonesha appreciation kwake
usikute hata wewe hujui unachopigania hapa ni nini. unakuwa kama Muha ambaye hata ukimuunga mkono bado anakubishia. kwani suala la appreciation si ni timing na process?umefika muda wamefanya hivyo. au ulitaka wawe wanamnywa na kumuoga kama maji?
 
Hellow JF

Kipindi kile waliposema jamaa ana matatizo ya akili hadi wakamsafirisha kwenye matibabu alitangazwa kwenye media sana.

Lakini kiukweli huyu jamaa Jonas Mkude tokea arudishwe kwenye kikosi amekuwa bora sana anaupiga mwingi pale kati lakini hawampi ile sifa anayostahili kwenye media shida ni nini hasa?

Kwa mtazamo wangu nilitegemea SSC wampe haki yake hadharani sio tu kwenye mabaya ndiyo wanatangaza kwa maana hiyo wanasubiri hadi afanye madudu ndiyo wayaseme mzani inabidi ubalance kote kote au hawaoni anayofanya pale kati ya dimba tokea arudi kikosini?

View attachment 2067948
Kisaikolojia Simba walifanya Negative motivation kupitia Mkude. Hakuna mchezaji mwingine atafanya upuuzi kama ule.
Suala la positive Motivation walitumika wachezaji wenye nidhamu na parformance kubwa. Mojawapo ya Motivation ni kuwekwa kwenye mabango ya matangazo ya mechi jambo ambalo kwa sasa hata Mkude anatokea. Pia kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa emirates.
Simba walikuwa sahihi kabisa na sasa kila mcjezaji anajituma sana.
 
Back
Top Bottom