Jonas Mkude: Kinachowaangamiza Simba ni kiburi, Jifunzeni kutokana na haya

Yaani ndio hapo Mkuu..

Hawa wabongo wa mtaa wa Msimbazi pale wanapenda vya bure sanaa....

Wanataka cha uvunguni lakini cha ajabu hawataki kuinama....

Sasa ona mtu kama Messi hapo... [emoji23]
Bado Athumani Idd na Nurudin Bakari waliondoka kwa zengwe.... Hii team haijifunzi kabisa
 
Kama haina uwezo wa kumlipa siaondoke... Mbona wenzake waliondoka kwani dunia ilisimama?
Simba timu kubwa sio ya kuyumbishwa na wachezaji wawili au watatu... Wanaoenda waendee.
Unapotumia neno kuyumbishwa/si aondoke/dunia ilisimama......


Inaonyesha ni jinsi gani mnachukia pale mchezaji anapo dai malipo ya juu zaidi....

Kwa nini uchukie? Hii ndio kazi yake..
 
Umeongea nini sasa? Mbona haueleweki?

Huyo refa si wa kwanza Duniani Kufanya makosa...!!

Kama tukiamza kutafiti tutagundua kuwa ni refa wa elfu saba na mia mbili... na sio wa kwanza........ Tuna uwezo wa kuwafunga hata kama huyo asipo chezesha.....

Usisahau kuwa simba imefungwa mara nyingi sana na yanga... Ukilinganisha ushindi wenu dhidi ya yanga.
 
nyie nyumbu msiojua kuchambua mpira pigeni tu blah blah.mchezaji kariba ya mkude mkimpoteza andikeni maumivu.viungo wakabaji ni adimu kupatikana kote duniani.sasa endeleeni na unyimbu wenu kama hamjajuta.nyumbu nyie. eti kwakuwa mmemlea ndio mnataka mumlipe kiduchu, mbona messi ametunzwa na barca tangu utotoni na kila siku anawadai mamilioni ya usajili.si angecheza bure kama vipi.mnashindwa kujuakama mpira ni ajira naye ndo anategemea kuendesha maisha yake.
mnataka akimaliza soka aanze kuomba omba simba imsaidie pesa za matibabu na za kuendesha maisha yake.very stupid nyie na kaburu wenu
 
Mesi sio mkude na hao simba wamejarbu kumuongeza bt anajtaj kiasi kikubwa sana tofaut na bajet yao na yeye sio wakwanza kutoka huwez 4c kisicho wezekana
 
Hasa Pusi FC wanajua kuweka mgogoro kwenye timu yao. Mbaya zaidi wanajionyesha wazi kuweka upendeleo kwa kuwajali zaidi wageni kimaslahi, vichapo vikianza wanakimbilia kulaumu uhujumu kutoka kwa marefa na timu yetu pendwa ya Yanga. Wabadilike. Kila mtu atavuna alichopanda. Mishahara ya wachezaji kutofautiana ni kawaida lkn tofauti hiyo isilete kinyongo kwa wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…