Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Actor anayekuja kwa kasi sana katika filamu za mapigano Jonathan Joancy wengi wamemzoea kwa jina la agent Bravo ndiye mtu pekee anayetazamwa kiumakini mkubwa haswa kwa wapenzi wa filamu za mapigano.
Jamaa anatendea haki fani yake kwa sababu anafanya mambo makubwa sana ambayo tumezoa kuyaona kwa akina Boyka au Jet Lee huko.
Kwa alipofikia sasa sitashangaa akialikwa kwenda kucheza filamu nje ya Tanzania hususani Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app