ANOLD MEDIA
New Member
- Mar 31, 2021
- 3
- 1
Mpaka sasa usajili wa nyota wa kimataifa wa Ghana na Singida Black Stars Jonathan Sowah ndio umelipa kwa asilimia kubwa zaidi,Jonathan Sowah amecheza michezo sita [7] amefunga magoli [7] hii inaonyesha dhahiri kwamba Sowah ni mchezaji wa kiwango kikubwa sana.-JONATHAN SOWAH (owns)1. Attacking Skills 100%
2. Dribbling 100%
3. Composure 100%
4. Strength 100%
5. Football awareness 100%
-Tusishangae Jonathan Sowah akaibuka Top Scorer kutokana na namna anavyofunga mabao kwa kasi na kila mechi ambayo anacheza uhakika wa yeye kufunga ni mkubwa zaidi,Sowah amepishana idadi ya magoli matatu [3] tu ambayo yanashikiliwa na vinara walioanza msimu mzima.
View: https://x.com/singidabssc/status/1897717353497936104/photo/1
View: https://x.com/singidabssc/status/1897717353497936104/photo/1