Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Jonathano Sowah ni streika wa timu ya Madeama kutoka Ghana ambayo imecheza mechi mbili naa Yanga siku za hapa karibuni.
Baada ya mechi ya kwanza mashabiki wengi walimpigia chapuo kwamba ndie streika anaehitajika kuzipa pengo la Fiston Mayele. Binafsi nilisita kumpa sifa kwa sababu kwanza sijui takwimu zake pili sijamfatilia kwa muda mrefu, ndio ilikua mara yangu ya kwanza kumuona. Nikasema ngoja nimuone tena kwenye mechi ya marudiano.
Mechi ya marudiano timu yake ilipigwa goli 3-0 huku Bakar Mwanyeto na Dickson Job wakifanikiwa kumzibiti ipasavyo akusumbua kama ile mechi ya kwanza vile vile alikosa penati na kupewa red card.
Baada ya mechi hii ya marudiano sijasikia tena kauli za kuhitajika kuziba pengo la Mayele. Je huyu jamaa ndie mbadala wa Mayele anaehitajika yanga au zilikua kelele za ile ile syndrome yetu kupagawa na mchezaji akicheza vizuri pale tunapokutana na timu yake?