Kweli kazeeka ila akili zake hazija zeeka kama za JK, MAKAMBA, KINANA, KINGUNGE, MSEKWA, RIZWANI NA MA SALMA maana hawa wote askili zao zimezeeka mpaka hazina akili, huyu babu ana uzalendo na uchungu na nchi yake sio kama hawa wenzetu na mimi MAFISADI WAKUBWA HAO.