Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye

Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye

Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.

Unadhani ni kwa nini?

View attachment 1285471
Vijana wa Chadema mnashindwa kuelewa. Ninyi mnasema chama chenu kinajiandaa kushika dola. Ni jambo jema. Wanaowakasokosoa wanawatengeneza ili kweli muonekane si kwa maneno tu, bali na kwa vitendo kuwa kweli ipo siku mtashika dola. Sasa, badala ya kuyafanyia kazi yale mnayoambiwa, ninyi mnajifananisha na John Momose Cheyo!!!!!!
 
DJ anawapigisha disco mpaka wanashindwa kulala. Povu linawatoka. Chakushangaza wanaoutaka uenyekiti chadema wakirudi kwao CCM hawautaki uenyekiti.

Ni matako pekee unayoweza kutamani ya mwenzio wakati matako yako pia wengine wanayatamani
 
Huyu ndiyo kiboko yenu
Tupe mrejesho wa mkulima kakamata bomberdier..
Screenshot_20191125-205208.jpeg
 
Sio mpizani wa kweli, hana madhara kwa chama dora. Kwa maana hiyo yeye na chama chake ni kama tawi la chama dora.
 
Ufanyie kazi ushauri wa shetani?
Vijana wa Chadema mnashindwa kuelewa. Ninyi mnasema chama chenu kinajiandaa kushika dola. Ni jambo jema. Wanaowakasokosoa wanawatengeneza ili kweli muonekane si kwa maneno tu, bali na kwa vitendo kuwa kweli ipo siku mtashika dola. Sasa, badala ya kuyafanyia kazi yale mnayoambiwa, ninyi mnajifananisha na John Momose Cheyo!!!!!!
 
kwa hiyo na mbowe awe mwenyekiti wa kudumu chadema au bila Yeye chama akiendi
kama uongozi wa chama anaung'ang'ania hivyo akipata nchi si ndio itakuwa balaa
kwangu ingemfaa amuachie mwingine kwsababu Hana jipya kwenye uongozi wake
 
Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.

Unadhani ni kwa nini?

View attachment 1285471
Sababu Cheyo anacheza wimbo anaochaguliwa na CCM lkn Mbowe hakubali hayo mambo. Kinachonisikitisha humu JF, hata wanaoaminiwa kuwa wachambuzi mahiri wa siasa zetu kama vile Pasco, hawaoni hili na ndio maana naamini wanaendeshwa na tamaa za kujaza matumbo yao badala ya weledi.

Vv
 
kwa hiyo na mbowe awe mwenyekiti wa kudumu chadema au bila Yeye chama akiendi
kama uongozi wa chama anaung'ang'ania hivyo akipata nchi si ndio itakuwa balaa
kwangu ingemfaa amuachie mwingine kwsababu Hana jipya kwenye uongozi wake
Kwani amekiuka katiba ya chama chake? Ni kama Cheyo, Mrema na Lipumba, wote ni wenyeviti wa vyama vyao kwa miaka mingi, tena wengine kama Lipumba aliacha kabisa uenyekiti wa CUF na baadaye akarejea na CCM na wana CCM wako kimya, lkn kwa Mbowe suala wanalichukulia kipekee, they are fishy.

Vv
 
hii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema

tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa

Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi
Swali ni je mbona hamleti zengwe lenu kea cheyo na kila siku yupo kwenye hafla zenu ikulu
 
Hivi John Cheyo anapata Ruzuku pia?
 
Back
Top Bottom