Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Vijana wa Chadema mnashindwa kuelewa. Ninyi mnasema chama chenu kinajiandaa kushika dola. Ni jambo jema. Wanaowakasokosoa wanawatengeneza ili kweli muonekane si kwa maneno tu, bali na kwa vitendo kuwa kweli ipo siku mtashika dola. Sasa, badala ya kuyafanyia kazi yale mnayoambiwa, ninyi mnajifananisha na John Momose Cheyo!!!!!!Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Ni mwana ccm kindaki ndaki au joka la kibisa kwenye upinzaniJonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Kama mbowe anavyolalamika na wana chadema wa ukweli kwa kujimirikisha chama na kukiua.Huyu hata CCM wenyewe hawamkubali!!
Tupe mrejesho wa mkulima kakamata bomberdier..
Tusi hilo nakala utume kwa wazazi wako ili wajue hasara walionayo kuwa na mtoto kiokote aina yako!pumbavu we
mkikamatwa kwa hoja mnabaki mnapayuka tu, demokrasia ianze ndani ya chama kwanza
Bangi za jua kali hizi...vipi mkulima keshahukua chake?Huyu ndiyo kiboko yenuView attachment 1285492
Propaganda za ma-CCM hizo!!Kama mbowe anavyolalamika na wana chadem wa ukweli kwa kujimirikisha chama na kukiua.
Kama za ufipa kwa rais kipenzi na jembe tanzania.Propaganda za ma-CCM hizo!!
Vijana wa Chadema mnashindwa kuelewa. Ninyi mnasema chama chenu kinajiandaa kushika dola. Ni jambo jema. Wanaowakasokosoa wanawatengeneza ili kweli muonekane si kwa maneno tu, bali na kwa vitendo kuwa kweli ipo siku mtashika dola. Sasa, badala ya kuyafanyia kazi yale mnayoambiwa, ninyi mnajifananisha na John Momose Cheyo!!!!!!
Sababu Cheyo anacheza wimbo anaochaguliwa na CCM lkn Mbowe hakubali hayo mambo. Kinachonisikitisha humu JF, hata wanaoaminiwa kuwa wachambuzi mahiri wa siasa zetu kama vile Pasco, hawaoni hili na ndio maana naamini wanaendeshwa na tamaa za kujaza matumbo yao badala ya weledi.Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Weka hapa kifungu cha sheria na kanuni zake mkuuUmenifurahisha sana, lakini sheria ya vyama vya siasa si inataka kila chama kiwe na uchaguzi?
Kwani amekiuka katiba ya chama chake? Ni kama Cheyo, Mrema na Lipumba, wote ni wenyeviti wa vyama vyao kwa miaka mingi, tena wengine kama Lipumba aliacha kabisa uenyekiti wa CUF na baadaye akarejea na CCM na wana CCM wako kimya, lkn kwa Mbowe suala wanalichukulia kipekee, they are fishy.kwa hiyo na mbowe awe mwenyekiti wa kudumu chadema au bila Yeye chama akiendi
kama uongozi wa chama anaung'ang'ania hivyo akipata nchi si ndio itakuwa balaa
kwangu ingemfaa amuachie mwingine kwsababu Hana jipya kwenye uongozi wake
Swali ni je mbona hamleti zengwe lenu kea cheyo na kila siku yupo kwenye hafla zenu ikuluhii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema
tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa
Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi