Mimi nimeuliza hujaona alama ya kuuliza Mwishoni?Weka hapa kifungu cha sheria na kanuni zake mkuu
Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
ccm bana yaani wakifika kwa mbowe lazima watafutize sababu, haya kesho anawafuata uwanjani sijui mtakimbia, tunawachora tu ...............Chadema bana yaani wakifika kwa mbowe lazima watafutize sababu
Nyinyi hata hamjui mnataka nini ivi si kila siku mnalalamika kuwa kina kagame, ali bongo, Museveni na nkurunzinza hawataki kutoka madarakani? Kwani na wao si wanapigiwa kula na kushida sasa kipi kinawalalamisha? Kwa mantiki hio msitegemee kuchukua dola kwa Mwenyekiti huyo anaejinasibu kuwa ni mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo ile hali hataki kuachia uongozi na wala hana succession plan yoyote amegeuza chama mali yake sasa tukimpa ikulu si atakuwa kama kina MuseveniApigiwe kura akishinda aendelee
Kwani demokrasia ni nini?hii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema
tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa
Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi
Mmeulizwa kwanini CCM wala msajili mkuu hawa-deal na huyo mtu lakini wapo na Mbowe??hii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema
tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa
Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi
Yupo kimkakati huyo,Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Miaka 58 ya uhuru wananchi wake eti Wanyonge!
!
Halafu Wanakuja Wapumbavu Fulani Wanakwambia Sisiemu Haijafanya Lolote
hii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema
tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa
Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi
Wanadai wana demokrasia mtu yupo hapo kaganda toka 2005 sijui..
Kwahiyo na wewe msajili wa CCM unachagua kupambana na vyama ambavyo ni tishio kwa serikali lakini hivi vya kina cheo na tlp kwasababu ni CCM B hamna time navyo?hii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema
tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa
Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi
Labda katiba yao haina kipengele cha uchaguzi
Ndugu, jamaa zako hawana mpango wa kushika dolaVijana wa Chadema mnashindwa kuelewa. Ninyi mnasema chama chenu kinajiandaa kushika dola. Ni jambo jema. Wanaowakasokosoa wanawatengeneza ili kweli muonekane si kwa maneno tu, bali na kwa vitendo kuwa kweli ipo siku mtashika dola. Sasa, badala ya kuyafanyia kazi yale mnayoambiwa, ninyi mnajifananisha na John Momose Cheyo!!!!!!
Kwa hiyo chadema ni mali ya Mbowe?
[/QUOT