Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E fm/E-tv
Jamaa hajafanya sana program za redioni kama upande wa Tv, Yes wengi walimfahamu kwenye "Now you Know" kupitia You tube account yake
Alipofika Efm alifanya kipindi cha HOMA akichukua nafasi ya Meneja Sebbo.
Sasa Jonijo anakuja na Kipindi kinaitwa GEREZANI hii imejidhihirisha kwenye teaser aliyoweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, akizungumza na msanii HEMED PHD, huku kavalia nguo zinazofanana na za Mfungwa ambae yuko chini ya Ulinzi ila katembelewa na mgeni, Good Idea.
Idea ya mazingira haiendani na kipindi chake cha awali THE BAR TENDER. Je, uhalisia wa maswali utaendana na kipindi hiko cha awali? tease iko mtandaoni tayari siku na saa
Lets wait and see, Creativity is the Key, kama ulimmisi kwa vipimdi vya namna hio sasa anarejea,
Tchaooooo.. its Mayowela