Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

Kipindi cha Salama Jabir kinaitwa SALAMA NA.


Yaani Salama na Guest anayekuwa nae siku hiyo.
Maudhui yake bado yale yale ya Mkasi,ila tofauti yake kile kipindi wanazungumza story nyingi za zamani huku current issues wakizingumzia kidogo.
 
Reactions: T11
Jojonijo aisee kapotea Sana mpaka nimeanza kumsahau.
 
Hio Idea si iko kwa Wema Sepetu, Cook with Wema.
 
Unajua maana ya content?
 
Musijifanye wajuaji Content huwezi badili, content ni interview tu Salama Na, Bartender, Mkasi nk nk zote interview idea inayofanyika iyo interviews ndio tunachoipa credit na kusema idea zilezile nowdays utaleta idea gani ukafanyie interview chini ya bahari.
 
Great ideas without executions is WORTHLESS.
 
Nakuelewa masta, nachangamsha Genge, Vitu vingi vimeishafanyika, hata BIG SUNDAY LIVE, ni marudio tu, but kwa kwetu huku na kama hufatilii mambo tunaona ni kitu kipya
Kudos

Ukitazama BIG SUNDAY LIVE, utagundua ni setup ambayo imetumika na namna ambavyo wanabadilisha muonekano wa stage,lakini vitu vinavyofanyika its all about entertainment ambayo ipo kila siku.

Note: now inabidi kuwa na uwekezaji na kuangaisha kichwa kidogo hili upate watazamaji, sio kama zamani unasimama na msanii hata barabarani unapiga nae story watu wanatazama kwa sasa watu wanataka macho yao kuona muonekano mpya.
 
Great ideas without executions is WORTHLESS.

Utekelezaji sio jambo rahisi kama unavyowaza, ingekuwa rahisi kiasi icho hata ile biashara ya mtaji wa M100 unaouwaza kichwani mwako ungekuwa ulishaanza kuutekeleza.
 
Utekelezaji sio jambo rahisi kama unavyowaza,ingekuwa rahisi kiasi icho hata ile biashara ya mtaji wa M100 unaouwaza kichwani mwako ungekuwa ulishaanza kuutekeleza.
Ndipo hapo sasa maana worthless inapofanya kazi yake,yaani so long haujatekeleza idea hio then inabaki kua story tu mzee baba.
 
Hio BIG SUNDAY LIVE,Kenya kitambo tu wanafanya hio mambo kwny channel zao za KTN/CITIZEN.
 
Ishafanywa iyo kitambo
 
Kuwndika ni rahisi lakini kutekeleza sasa! Watu mnajidai mna ideal mpya lakini hamna mlichofanya!

Jonijo ana jitahidi sana
 
Mi nataka nije na idea ya chooni. Yaani namhoji mtu huku anakunya.
 
Wasanii wabongo hawa hawa wafuatwe makwao watakubali!?? Wakati wengine wanaishi katika ma-gheto kama lile la billnasi alijichukua video clip akiwa na nandy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…