Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

Great ideas without executions is WORTHLESS.

Kabisaaaa mkuu

Watu tunapenda kukosoa sana lakini in real sense utafanya mahojiano ya aina gani yaonekane mapya. Zote ni conversations tu cha msingu ni delivery

Kwanza media za bongo hadi watangazaji wengi ni copy cats na si kitu kibaya
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wabongo hawa hawa wafuatwe makwao watakubali!?? Wakati wengine wanaishi katika ma-gheto kama lile la billnasi alijichukua video clip akiwa na nandy
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zamani ulikuwa unatumia njia gani kumsikia?
Kipindi yupo wasafi alikuwa anatrend Sana kwenye social media tofauti na sasa Kama binafsi naona jonijo na bdozen walikosea kuama kwenda efm wamerudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 
Kipindi yupo wasafi alikuwa anatrend Sana kwenye social media tofauti na sasa Kama binafsi naona jonijo na bdozen walikosea kuama kwenda efm wamerudi nyuma badala ya kwenda mbele.
ni vema kuheshimu maamuzi ya mtu, lakini kuna wakati ukitanguliza maslahi mbele utajikuta unaua career yako, J e Lil Ommy aliekuwa ana trend Times fm ndio Lil Ommy huyu ambae yuko Wasafi kwa sasa..?, je pick yake bado iko pale au imeshuka..?
TUWAPE MUDA
 
Lily ommy anafanya vizuri tofauti na jonijo na bdozen we siumeona kaisimamisha vizuri big Sunday live angalia pia kampeni aliyoleta ya shinda na alteza ilivyofanya vizuri pale Wasafi.Narudia Tena bdozen na jonijo wamepotea njia thamani zao zimeshuka walikurupuka kuama.
 
Hata hii ya kuwafata nyumban ilishafanyika kweny magazeti
 
Bonge la idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…