music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Mtangazaji mpya wa WasafiTv anaeitwa Jonijoo, anaenda kuishangaza dunia.
Ulimwengu unaenda kuona kipaji cha hali ya juu. Swagga, technics, big brain na ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa Jonijoo ndio vinaenda kumpa ufalme wa media.
Wasio mfahamu just wait and see muda utazungumza zaidi.
CEO wa kizazi jeuri.. Wahuni sio watu wazuri.. Tupo live na maisha.. Kaa kitaalam! 16 bars