Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mseng.e mbaya kiseng.e wakina dozen wasipoangalia huyu nyang'au ndo atakuwa habare ya mjini.Mtangazaji mpya wa WasafiTv anaeitwa Jonijoo, anaenda kuishangaza dunia.
Ulimwengu unaenda kuona kipaji cha hali ya juu. Swagga, technics, big brain na ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa Jonijoo ndio vinaenda kumpa ufalme wa media.
Wasio mfahamu just wait and see muda utazungumza zaidi.
CEO wa kizazi jeuri.. Wahuni sio watu wazuri.. Tupo live na maisha.. Kaa kitaalam! 16 bars View attachment 866970
Only matured ones can understand this!Nothing new... swaggz na kila kitu ni wale wale wa clouds...
Akheri lil ommy ni swagga zile zile ila ana content na anajua historia ya muziki plus anajitahidi kuhoji watu. Yaani kuna improvement flani nzuri anayo.
Ila atakuwa mkubwa maana atafanya kazi katika brand kubwa..si kwamba hana kipaji ila ni wa kawaida na ukitoa interview zake zilizoegemea SEX SALE... nothing about him is extra ordinary
Only matured ones can understand this!
Nakupa heko mkuu
Upo sahihi mkuu ila muhimu ni consistence katika ubora. Je evolve kulingana na nyakati? Je jamaa anaweza kupiga dakika 120 non stop akiwa live?... Concern yangu ni kuwa bila shaka Jonijoo huwa anakuwa na take two nyingi tofauti na Ommy ambaye kipindi kipo live redioni so akitoa boko hakuwa kuedit.Mkuu industry ya matangazo hayo ni kwa age hizo, old dogs siyo wateja wa aina ya matangazo wanayoyafanya jamaa.
So mimi nadhani kama segment husika inamwelewa ni vizuri.
To Lil Ommy, mimi huwa nikiwa na muda ni pekee kati ya watamgazaji naweza kuingia youtube kumsikiliza.
Upo sahihi mkuu ila muhimu ni consistence katika ubora. Je evolve kulingana na nyakati? Je jamaa anaweza kupiga dakika 120 non stop akiwa live?... Concern yangu ni kuwa bila shaka Jonijoo huwa anakuwa na take two nyingi tofauti na Ommy ambaye kipindi kipo live redioni so akitoa boko hakuwa kuedit.
wanasema muda ni hakimu mzuri, tusubiri mkuu.Good observation, hata interview ya 45 minutes live hawezi kufanya, ni short segment tu ndo anaziweza.
wanasema muda ni hakimu mzuri, tusubiri mkuu.
Lil Ommy yupo very dedicated kwenye kazi yake na ana mengi yanayomtofautisha na presenters wengine wa bongo. Hapo naona anafanya anachokipenda so haifanyi kama kazi bali ni burudani kwake. Kuna wakati huwa naamini hawa tycoons kwenye game kama B12 na wengine wanalindwa zaidi na ile legacy ambayo waliijenga enzi hizo wapo na akina Fetty ila kwa sasa hawana jipya kivile japo wamelishika game.
hahahaha.... kwa hizi comment chache I can guess kuwa wewe ni mzee wa content zaidi kuliko form... old skul uongo?Hahaha, sijawahi kuwa mshabiki wa kina B12, labda kazi pia zinachangia maana muda wa kusikiliza radio ni asubuhi na jioni. Lakini content zao pia hazina uzito wa kupotezea muda.
Lil Ommy huwa mara moja moja weekend naingia YouTube kucheki interview yake kwenye The Playlist, hajawahi kuniangusha.
hahahaha.... kwa hizi comment chache I can guess kuwa wewe ni mzee wa content zaidi kuliko form... old skul uongo?
tatuzo sio WCB, tatizo ni Watanzania ambao ili waone uzuri wa kitu ni lazima waaminishwe... hata kitu kibovu wakiaminishwa kuwa ni kizuri watakipenda tuKwakuwa kajiunga wasafi basi team domo mtampamba hatutakunywa Maji hapa
Jamaa interviews zake za U-Tube zinaangaliwaga na watu wengi kwasababu zinazungumzia sana ngono, ila hampati kabisa Lil Ommy, jamaa ana content sana. Ommy ni level za Millard AyoNothing new... swaggz na kila kitu ni wale wale wa clouds...
Akheri lil ommy ni swagga zile zile ila ana content na anajua historia ya muziki plus anajitahidi kuhoji watu. Yaani kuna improvement flani nzuri anayo.
Ila atakuwa mkubwa maana atafanya kazi katika brand kubwa..si kwamba hana kipaji ila ni wa kawaida na ukitoa interview zake zilizoegemea SEX SALE... nothing about him is extra ordinary
Hahaha babaaakooomhuni haogopi kufa ila anaofia kutangulia maana atawamiss wanae babako na usiseme maisha ni safari wakati umedandia treni #wahuni_sio_watu_wazuri
Lil ommy yupo radio mbao haina masikio mengi ukimtaja kwa watu wa mikoani hawakuelewiLil Ommy kwenye interview zake nilishawahi kupata mchepuko, namwelewa sana. Lil Ommy anafanya research ya mtu atakayemhoji, anafatilia details mbalimbali kupata lead ya maswali. Ni namba moja kwa entertainment interviews Bongo.
Ila huyu dogo pia yuko vizuri kwa wanaofatilia kipindi chake cha Now You Know, sema watu wa kuwahoji walikuwa wachache. Nasubiri kuona anafanyaje zaidi.