music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Huyu jamaa namkubali Sana huwa napenda utube chanel yake, hapo wasafi imetisha kwa huyu jamaa.Mtangazaji mpya wa WasafiTv anaeitwa Jonijoo, anaenda kuishangaza dunia.
Ulimwengu unaenda kuona kipaji cha hali ya juu. Swagga, technics, big brain na ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa Jonijoo ndio vinaenda kumpa ufalme wa media.
Wasio mfahamu just wait and see muda utazungumza zaidi.
CEO wa kizazi jeuri.. Wahuni sio watu wazuri.. Tupo live na maisha.. Kaa kitaalam! 16 bars View attachment 866970
Kwa kuwa mnafurahi zaidi tukiandika mabaya ya watu, basi nashukuruHongera Jonijoo kwa kuja kujiandika
Time will tellPromo
Jamaa yuko WCB saivMtangazaji mpya wa WasafiTv anaeitwa Jonijoo, anaenda kuishangaza dunia.
Ulimwengu unaenda kuona kipaji cha hali ya juu. Swagga, technics, big brain na ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa Jonijoo ndio vinaenda kumpa ufalme wa media.
Wasio mfahamu just wait and see muda utazungumza zaidi.
CEO wa kizazi jeuri.. Wahuni sio watu wazuri.. Tupo live na maisha.. Kaa kitaalam! 16 bars View attachment 866970
jonijoo yupo vizuri mhuni yuleNothing new... swaggz na kila kitu ni wale wale wa clouds...
Akheri lil ommy ni swagga zile zile ila ana content na anajua historia ya muziki plus anajitahidi kuhoji watu. Yaani kuna improvement flani nzuri anayo.
Ila atakuwa mkubwa maana atafanya kazi katika brand kubwa..si kwamba hana kipaji ila ni wa kawaida na ukitoa interview zake zilizoegemea SEX SALE... nothing about him is extra ordinary
mwambie alipie tangazo " *****Hongera Jonijoo kwa kuja kujiandika
Akheri lil ommy ni swagga zile zile ila ana content na anajua historia ya muziki plus anajitahidi kuhoji watu. Yaani kuna improvement flani nzuri anayo.