Jonijoo mfalme mpya wa radio/TV shows kwa kizazi cha sasa!

Kwahiyo kinachokuvutia wewe ni neno tu " wahuni"!??
Wacha sisiem wajibebe kura tu kwa akili hizi..!!
 
Huyu mseng.e mbaya kiseng.e wakina dozen wasipoangalia huyu nyang'au ndo atakuwa habare ya mjini.
 
Jamaa wa kawaida sana kinachompa kiki ni hayo maneno yake ya kukariri... Utasikia, "lock nene, kizazi jeuri, wahuni sio watu wazuri, baba ako, tupo live na maisha"

Utangazaji ni zaidi ya hayo maneno ya kukariri... Kwa kizazi cha sasa best presenter wa entertainment news ni Lil ommy... Jamaa yupo very knowledgeable kuhusu hii tasnia... Huyo Jonijoo ni kipenzi cha Lil boys ambao kwao content sio ishu saaana wanajali swag tu
 
Only matured ones can understand this!
Nakupa heko mkuu
 
Only matured ones can understand this!
Nakupa heko mkuu

Mkuu industry ya matangazo hayo ni kwa age hizo, old dogs siyo wateja wa aina ya matangazo wanayoyafanya jamaa.

So mimi nadhani kama segment husika inamwelewa ni vizuri.

To Lil Ommy, mimi huwa nikiwa na muda ni pekee kati ya watamgazaji naweza kuingia youtube kumsikiliza kwa Bongo kwenye interviews.
 
Upo sahihi mkuu ila muhimu ni consistence katika ubora. Je evolve kulingana na nyakati? Je jamaa anaweza kupiga dakika 120 non stop akiwa live?... Concern yangu ni kuwa bila shaka Jonijoo huwa anakuwa na take two nyingi tofauti na Ommy ambaye kipindi kipo live redioni so akitoa boko hakuwa kuedit.
 

Good observation, hata interview ya 45 minutes live hawezi kufanya, ni short segment tu ndo anaziweza.
 
wanasema muda ni hakimu mzuri, tusubiri mkuu.

Sure, mimi nampa hongera kwa sababu entry point kaweza kushika.

Kama ni mwanafunzi mzuri anaweza kuja kubadilika na kuwa presenter mzuri.

Kuna interview Lil Ommy anafanya mpaka unajiuliza kapata muda wapi wa kufatilia hizi mambo? Maana kuna wakati anauliza swami juu ya post mtu aliiweka halafu akaifuta in few minutes, na inakuwa ni tukio la miezi sita nyuma.
 
Lil Ommy yupo very dedicated kwenye kazi yake na ana mengi yanayomtofautisha na presenters wengine wa bongo. Hapo naona anafanya anachokipenda so haifanyi kama kazi bali ni burudani kwake. Kuna wakati huwa naamini hawa tycoons kwenye game kama B12 na wengine wanalindwa zaidi na ile legacy ambayo waliijenga enzi hizo wapo na akina Fetty ila kwa sasa hawana jipya kivile japo wamelishika game.
 

Hahaha, sijawahi kuwa mshabiki wa kina B12, labda kazi pia zinachangia maana muda wa kusikiliza radio ni asubuhi na jioni. Lakini content zao pia hazina uzito wa kupotezea muda.

Lil Ommy huwa mara moja moja weekend naingia YouTube kucheki interview yake kwenye The Playlist, hajawahi kuniangusha.
 
hahahaha.... kwa hizi comment chache I can guess kuwa wewe ni mzee wa content zaidi kuliko form... old skul uongo?
 
hahahaha.... kwa hizi comment chache I can guess kuwa wewe ni mzee wa content zaidi kuliko form... old skul uongo?

Yeah, old school. Kipindi cha nyuma Millard Ayo alikuwa vizuri, akasababisha nikawa jioni sisikilizi The Cruz ya kina Mami Baby na DJ Sinyorita kabla hawajahamia Mawingu.

Ila baadae wamejaza matangazo, so najikuta jioni nahangaika, naishia EFM michezo, then flash.
 
Jamaa interviews zake za U-Tube zinaangaliwaga na watu wengi kwasababu zinazungumzia sana ngono, ila hampati kabisa Lil Ommy, jamaa ana content sana. Ommy ni level za Millard Ayo
 
BABAAAAAKOO, Wahuni sio watu wazuri weweeee.
 
Lil ommy yupo radio mbao haina masikio mengi ukimtaja kwa watu wa mikoani hawakuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…